hearly
JF-Expert Member
- Jun 19, 2014
- 45,678
- 63,304
according to lara 1 itakuwa ni Nyama ya tako tu .mkuu ..Shem umempa nin kijana?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
according to lara 1 itakuwa ni Nyama ya tako tu .mkuu ..Shem umempa nin kijana?
vuta subra mkuu ubwabwa bado kidogoMapenzi ni ngao kaa ufikiri
Kwa wapendanao hukaa wawili
Fanya chuki nao, wala hawajali
Hupeana vyeo wenyewe kwa siri
Kama huyajui uliza wenzio
Hajar nimekumbuka beti chache hizi kutoka katika wimbo wa taarab asilia wa Club ya Culture kutoka masiwani Unguja, basi umfikishie ndugu yako Mwifwa na wifi yako ingawa hamkutualika pilau ya shughuli Hajar
HahahaOh! Bora maana unaweza kuota ndoto za kutisha au hata kupofuka macho 🙂🙂
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]No baby, ila hii mistari ya Mwifwa ni kiboko sana au wewe hujaona alivyoipangilia?
Yaani nimejikuta nasoma huku natikisa kichwa kwa madaha utadhani ndio muhusika mkuu [emoji28], ila nilikuwa najaribu kuyasoma huku navuta picha yako juu ya maneno yale unayoniambiaga.
[emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122]Oohoo my love nashindwa hata niseme nini jaman,nimejikuta nalia kwa furaha,kila siku unanifanya nijione mpya nakama vile naitawala duniani nzima kwa mapenzi yako kwangu,mwifwa wangu wewe nimwanaume wapekee sana ktk maisha yangu na naamini ulizaliwa kwa ajili yangu,siku zote sitachoka kumshukuru mwenyezi mungu kwakunipa wewe,nakupenda sana mpenzi wangu,daima tuzidi kumuomba mungu atuongoze katika safari yetu Tanisha! nakupenda mume wangu
Siri ya mahaba ya Mwifwaa naijua Mimi tuNdiwooo
HahahaSiri ya mahaba ya Mwifwaa naijua Mimi tu
hahaa imekodi ambulance mkuu ""speed ya huu uzi si ya nchi hii
Msisahau kunipa kitengo kwenye kamatisoon tunaunda kamati
Pongezi zifikishe kwa kupo hii ndugu yanguSio kila homa ni maralia
Usinitoe kwenye reliiiii hilo tumesema lina siku yakeeeeIla line somo la chai bado halijakaa kichwani kabisa[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Sawa kakamm sio kiongozi wao...mm ni spy tu nawaangalia wanavyonata kushambulia meli yenu, nipo na ww braza angu [emoji4]