The Only One My Love moneytalk

The Only One My Love moneytalk

Mapenzi ni ngao kaa ufikiri
Kwa wapendanao hukaa wawili
Fanya chuki nao, wala hawajali
Hupeana vyeo wenyewe kwa siri
Kama huyajui uliza wenzio

Hajar nimekumbuka beti chache hizi kutoka katika wimbo wa taarab asilia wa Club ya Culture kutoka masiwani Unguja, basi umfikishie ndugu yako Mwifwa na wifi yako ingawa hamkutualika pilau ya shughuli Hajar
vuta subra mkuu ubwabwa bado kidogo
 
Oohoo my love nashindwa hata niseme nini jaman,nimejikuta nalia kwa furaha,kila siku unanifanya nijione mpya nakama vile naitawala duniani nzima kwa mapenzi yako kwangu,mwifwa wangu wewe nimwanaume wapekee sana ktk maisha yangu na naamini ulizaliwa kwa ajili yangu,siku zote sitachoka kumshukuru mwenyezi mungu kwakunipa wewe,nakupenda sana mpenzi wangu,daima tuzidi kumuomba mungu atuongoze katika safari yetu Tanisha! nakupenda mume wangu
[emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122]

Shemeji mpaka umemfanya mwifwa ang'oe nanga najua usha muwezea mtafika mbali.
Mungu awajaaliyeee penzi lenu lisifike mwisho
 
Back
Top Bottom