Hahah! kwakweli nizoee tu shemKhaaaa
Unantia aibu ujue... Kwani uko na miaka 12
Am proud [emoji122] [emoji122]Nimemtafuta shem popote alipo mpaka nimempata...
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Siaibu ya hayo mambo jamani
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Anzisha uzi bas na ww sio unaimba tu i love u
haa haha kaulizie gharama za rehab kabisa "[emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2]
I can imagen asee ntajitahid sana kuhakikisha ana pata msaada wa ki afya na kisaikolojia.
MmmhHahah! kwakweli nizoee tu shem
nmefanyaje tena kipenzi mbona sielewi??Utalia Inna, Wacha kujifanya hujaelewa maandishi
HahahahAiseee
Kwanza nakushukuru kwa kulibeba kwa uzito wake babe kaka!!
Mimi nilianza kupata wasiwasi baada ya kimya kutawala!! Lakini sikutaka kuonyesha ili Shunie asiumie!!
Na hata alivyokuja sikuona kama alikuwa tayari, ile haikuwa reaction ya mapenzi aki!! Kumbe ulienda kumbeba eeeh
Sawa kabisaaaHahahah
Nilienda kumkumbusha tuu yeye akaja mwenyewe
But watu wetu hawa wote so ilikuwa lazma kama ndugu wa karibu nihusike.
[emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2]haa haha kaulizie gharama za rehab kabisa "
Hii reli ilikuwa imerefuka sana , nikaifuatuilia hadi hapa ndio nimeona nilichokuwa nakifuatilia.Oohoo my love nashindwa hata niseme nini jaman,nimejikuta nalia kwa furaha,kila siku unanifanya nijione mpya nakama vile naitawala duniani nzima kwa mapenzi yako kwangu,mwifwa wangu wewe nimwanaume wapekee sana ktk maisha yangu na naamini ulizaliwa kwa ajili yangu,siku zote sitachoka kumshukuru mwenyezi mungu kwakunipa wewe,nakupenda sana mpenzi wangu,daima tuzidi kumuomba mungu atuongoze katika safari yetu Tanisha! nakupenda mume wangu
Shem usicheke mambo ya uzi sio poa[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Mngh!Mmmh
sina neno lingine zaidi yanakupenda baba watoto wangu,matendo yangu yatakuwa yakukupendeza zaidi kuliko manenoHii reli ilikuwa imerefuka sana , nikaifuatuilia hadi hapa ndio nimeona nilichokuwa nakifuatilia.
Ahsante sana my kipenzi moneytalk, upendo wangu kwako upo moyoni tu na hauwezi kuhamia sehemu nyingine maana ulipo ndio mahala pake,.
Kila sekunde, dakika, saa, siku huwa naiona ni tofauti na iliyopita nikiwa na wewe, kwa mapenzi unayonipa najiona kama naimiliki Dunia yote.
Nakupenda sana kipenzi changu moneytalk
Tutakujuza next week wee kuwa mpole tuunmefanyaje tena kipenzi mbona sielewi??