Hahahahaha lol! Ndiyo Mkuu ni ukweli ukweli
Neno lako naliheshim sana Chief...naagiza suti pair tatu. Uchumba, Send Off na Siku ya tukio.
Mwifwa isijekua unatufanyia mambo ya kuoa karibia na mfungo kisha msimu ukipita utuletee hadithi za kiingereza! Ohoooo
Ahsante babe wangu...[emoji79][emoji79]Pole babe wangu
Usjali hiyo ni kazi yetuAisee.
Shemeji alamsik[emoji1]Kaka
Mfungulie mumu siredi asee [emoji2]
Haya shemeji wa nguvuShemeji alamsik[emoji1]
Msalimu wiwo 'angu...[emoji6]Haya shemeji wa nguvu
Ameen!