The Only One My Love moneytalk

The Only One My Love moneytalk

Hizi ndoa za karibu na mfungo ndiyo ambazo mke huitwa Mke futari? Hii ya Mwifwa sidhani kama itakuwa hivyo Mkuu. Huyu si mkurupukaji Mkuu.

Neno lako naliheshim sana Chief...naagiza suti pair tatu. Uchumba, Send Off na Siku ya tukio.

Mwifwa isijekua unatufanyia mambo ya kuoa karibia na mfungo kisha msimu ukipita utuletee hadithi za kiingereza! Ohoooo
 
Back
Top Bottom