The Only One My Love moneytalk

Nimeona mpenzi wangu, ila hiyo mistari mpaka nimeskia wivu ujue,

Embu nambie kwanza ulikuwa wapi na kwanini unapenda kuutesa moyo wangu?
Kwa hiyo mpenzi unataka usema maneno nnayo kupaga hayafikii ya Mwifwa
Au na wewe unataka nifungue siredi.

Nilikuwa kwa Mwifwa tuna andaa shughuli ya leo narudi sasa hivi mama watoto
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…