carbamazepine
JF-Expert Member
- Dec 30, 2015
- 46,562
- 285,591
Utakapomuona mfikishie salamu zangu
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]karoho kangu tu jamaniNtamfikishia kaka
Kwa kweli hizi kwake zitakuwa ni kama taarifa za msiba
Haya bhana[emoji4][emoji4][emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Hamna ume mature kweli. umekuja kiroho safi kabsa.
Hujajua tuu jinsi nilivo kuaminia, ndo ukibwa huo
Acha kufukua makaburi [emoji23]
Ilikuwa siyo fungu lako Carba[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]karoho kangu tu jamani
HahahahaImebidi tu[emoji23][emoji23][emoji23]watu wanataka kunitia ubaya kwa wifi na shemeji
Ilikuwa siyo fungu lako Carba
Lets move on tuu
[emoji23][emoji23][emoji23]me nilijua tu,kulikua na namna....Nasikitika sana rada imenaswa njiani wakati ipo kwenye masafa marefu kumtafuta my wangu.
Kadi utapata hilo suala Hajar na ukhuty wanalisimamia
Sema ukweli wako kama nilishawahi kukubebisha[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] maneno ya mkosaji pyeeee
Nashukuru kwa chakula kizuri kipenzi. Yaani uko smart kila sekta.nimekupikia mume wangu kile chakula ukipendacho,njoo nyumban tutatoka usiku
[emoji23] [emoji23] [emoji23]Imebidi tu[emoji23][emoji23][emoji23]watu wanataka kunitia ubaya kwa wifi na shemeji
AbeeeKipenzi changu[emoji8] [emoji8] [emoji8] [emoji8] [emoji8]
na atasubiri sanaNaona anataka ajue hadi muda husika[emoji23] [emoji23] [emoji23]