The Only One My Love moneytalk

Nashukuru kwa chakula kizuri kipenzi. Yaani uko smart kila sekta.

Ngoja nimalizie kuangalia mechi hapa ya Mnyama na sijui na katimu gani hapa kameanza kuraruliwa mapema tu, halafu jioni tutenda kule kumalizia weekend
sawa kipenzi changu
 
Sema ukweli wako kama nilishawahi kukubebisha

Tena nahisi hii ndo sababu iliyofanya uende kwa Davet sababu ye anabebisha
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] ebu niwache mie mwenyewe sipendi kubebishwa hapa tunapelekana kijeshi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…