Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Shem wanguJirani yangu upo wapi wewe
Unataka niachike auExactly
Nakuzooom tuuBabu huo mchepuko ushakuteka aisee
Mjibu hebuNtakujibu chumbani leo usiku
Basi tukae wote watatu tuipange hii bibilia ya MamseriMkiiandika mnitoe kabisaaa huko mie, nimechoka kutengwa!
Komaa mdogo wanguMjibu hebu
Nataka nijue niweke bandiko la kusaka mume bora
HahahaBasi tukae wote watatu tuipange hii bibilia ya Mamseri
Sawa dadangu!Komaa mdogo wangu
Shkamooaseeeeh naona wote mnajiwahia wenu.... hongereni
mambo... unanisalimu ili wajue mie kibabu? nakuona superstar wanguShkamoo
Hahahamambo... unanisalimu ili wajue mie kibabu? nakuona superstar wangu
si langu na weweHahaha
Wewe hilo jina umelitoa wapi lakinii!!!
Aiseeesi langu na wewe