Kichwa Kichafu
JF-Expert Member
- Apr 13, 2017
- 44,855
- 189,385
Jirani kipenzi ubusy kidogo Ila nitarudi soon kikamilifu. Nafurahi kukuona u mzimaJirani yangu upo wapi wewe
Sky Eclat na SakayoView attachment 766824
Hebu tazama uzuri wa sayari nzuri uionayo kichwani kwako, ifikirie taswira ya raha uipatayo huko na kisha rejesha mawazo yako katika muonekano halisi wa dunia uipendayo.
Ingekuwa chaguo la moyo wangu Basi ningetengeza dunia nyingine nzuri nikaishi na wewe tu. We ni chanzo cha Furaha ya maisha yangu kwani kuridhika kwa moyo wangu ni pale nikuonapo tu zaidi ya tabasamu lako hapo hunifanya nihamishe mawazo na niende katika sayari nyingine kimawazo.
Natafakari ukaribu wako hasa pale uwapo karibu na Mimi ni zaidi ya upendo Mara unifunikapo kwa joto lako tamu la uaminifu.
Hakika katika kila hangaiko lina raha yake. Kwani weee ni kile kisima nilichokitafuta miaka nikitembea jangwani na nyikani na hatimae Leo nimefika katika maji matamu ya kuburudisha hisia zangu.
Najiachia na naruhusu nafsi yangu itulie kwako kwani wewe ndio chaguo sahihi la moyo wangu.
View attachment 766829
I really missing you my only jirani, ubusy ukiisha tafadhali bwana fanya hima tuonane.Jirani kipenzi ubusy kidogo Ila nitarudi soon kikamilifu. Nafurahi kukuona u mzima
And one mchepuko ....Corinthians 7:1 it’s good for a man to have one wife
Hii Bible unayotumia hubby inauzwa wapi?And one mchepuko ....
Ya kimila tokea MamseraHii Bible unayotumia hubby inauzwa wapi?
Ulinioa kwa ndoa ya Roma, sasa chagua kufuata Bible ya Roma au ya Mamsera?Ya kimila tokea Mamsera
Ntakujibu chumbani leo usikuUlimi is kwa ndoa ya Roma, sasa Chagga gunafuata Bible ya Roma au ya Mamsera?
Mbona mimi nimeachwa gizani jamani? Mhu chiongeji papo.View attachment 766824