The Only One My Love moneytalk

Wajameni na mimi naombeni mdada mmoja JF mwenye umri kati ya miaka 18 hadi 30 tuanzishe kama hivi. Tukiendana nitamuwowa, mimi nipo Dar nina miaka 34 nina mandinga makali na ni meneja kampuni kubwa hapa nchini.
 
Haa haa ha haa aiseee
Kumbe hata ww hii rada ulikua
Umeisearch network ikakuktia
Njian[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]

Ngoja nikomae hapo wala stoi
Mguuu
 
Mkuuu Kwa mashahir haya basi wabongoo nasisi tupo level ya juu[emoji1] [emoji1] [emoji1]
 
Hii ni ya kibongo mkuu.

Huoni na ile ya Mh nayo ilikwama
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
Bongo lala

Ilikwama kama bongo movie
 
Wajameni na mimi naombeni mdada mmoja JF mwenye umri kati ya miaka 18 hadi 30 tuanzishe kama hivi. Tukiendana nitamuwowa, mimi nipo Dar nina miaka 34 nina mandinga makali na ni meneja kampuni kubwa hapa nchini.
Cc miss natafta
 
Haa haa ha haa aiseee
Kumbe hata ww hii rada ulikua
Umeisearch network ikakuktia
Njian[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]

Ngoja nikomae hapo wala stoi
Mguuu
Ndio mkuu, ila uwe na mbadala endapo ikifeli usipate shida sana
 
Ndio mkuu, ila uwe na mbadala endapo ikifeli usipate shida sana
C unajuaga ile kukinyesha
Fuso haipand kwenye mlima
Bila kigoda[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]

Maana any time break znafell
 
Wangu kipenzi mzuri, mfano kama hariri.

Wewe kwangu ni habari, kifani chako dinari.

Zipite enzi dahari, ubaki wangu uturi.

Mola akujaze kheri, akuepushe na shari.
Nakosa hata chakusema jaman,zaidi niseme tu namshukuru mungu kwakunikutanisha nawe!nakupenda sana
 
Nakosa hata chakusema jaman,zaidi niseme tu namshukuru mungu kwakunikutanisha nawe!nakupenda sana
Upendo haununuliwi dukani, wala haupimwi na mizani.

Upendo upo moyoni, ninakupenda kutoka moyoni
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…