Sesten Zakazaka
JF-Expert Member
- Sep 10, 2017
- 10,559
- 19,101
Sawa hamna nenoHebu iwekeni hadharani basi hiyo mistari mnayopeana faragha na madomo zege wajifunzage humohumo
Mkuu,rafiki nini yamekusibu leo naona bashashaa na nderemo kinywa kikitoa asalii [emoji1]View attachment 766824
Hebu tazama uzuri wa sayari nzuri uionayo kichwani kwako, ifikirie taswira ya raha uipatayo huko na kisha rejesha mawazo yako katika muonekano halisi wa dunia uipendayo.
Ingekuwa chaguo la moyo wangu Basi ningetengeza dunia nyingine nzuri nikaishi na wewe tu. We ni chanzo cha Furaha ya maisha yangu kwani kuridhika kwa moyo wangu ni pale nikuonapo tu zaidi ya tabasamu lako hapo hunifanya nihamishe mawazo na niende katika sayari nyingine kimawazo.
Natafakari ukaribu wako hasa pale uwapo karibu na Mimi ni zaidi ya upendo Mara unifunikapo kwa joto lako tamu la uaminifu.
Hakika katika kila hangaiko lina raha yake. Kwani weee ni kile kisima nilichokitafuta miaka nikitembea jangwani na nyikani na hatimae Leo nimefika katika maji matamu ya kuburudisha hisia zangu.
Najiachia na naruhusu nafsi yangu itulie kwako kwani wewe ndio chaguo sahihi la moyo wangu.
View attachment 766829
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Msaidie huyo,mwambie anayoongea ndo ayaandike
HahahaNo baby, ila hii mistari ya Mwifwa ni kiboko sana au wewe hujaona alivyoipangilia?
Yaani nimejikuta nasoma huku natikisa kichwa kwa madaha utadhani ndio muhusika mkuu [emoji28], ila nilikuwa najaribu kuyasoma huku navuta picha yako juu ya maneno yale unayoniambiaga.
I love you na wote wanajua thats what matters babyKabisa mpenzi, wengi wanatambua hilo
[emoji23] [emoji23] [emoji23]Msaidie huyo,mwambie anayoongea ndo ayaandike
Ngoja nicheke kihutu KwanzaaView attachment 766824
Hebu tazama uzuri wa sayari nzuri uionayo kichwani kwako, ifikirie taswira ya raha uipatayo huko na kisha rejesha mawazo yako katika muonekano halisi wa dunia uipendayo.
Ingekuwa chaguo la moyo wangu Basi ningetengeza dunia nyingine nzuri nikaishi na wewe tu. We ni chanzo cha Furaha ya maisha yangu kwani kuridhika kwa moyo wangu ni pale nikuonapo tu zaidi ya tabasamu lako hapo hunifanya nihamishe mawazo na niende katika sayari nyingine kimawazo.
Natafakari ukaribu wako hasa pale uwapo karibu na Mimi ni zaidi ya upendo Mara unifunikapo kwa joto lako tamu la uaminifu.
Hakika katika kila hangaiko lina raha yake. Kwani weee ni kile kisima nilichokitafuta miaka nikitembea jangwani na nyikani na hatimae Leo nimefika katika maji matamu ya kuburudisha hisia zangu.
Najiachia na naruhusu nafsi yangu itulie kwako kwani wewe ndio chaguo sahihi la moyo wangu.
View attachment 766829
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Msaidie huyo,mwambie anayoongea ndo ayaandike
Ngoja nicheke kihutu KwanzaaAiseeee
Aiseeee
Aiseeeee
Hahaaaa. Kabisaaaaa.Hajar wenyewe wa asili ya huko hawaiti visiwa huwa wanayai MASIWA, lugha ya masiwani inaraha yake
Basi baby wangu ngoja tuu niondoke, kwani hayo maneno si ni mazuri kwa mpenzi wake jamani mbona tena wataka kuweka wivu katikati mpenzi wangu?Baby umenipa was was umeyapamba mno maneno ya Mwifwa
Ewaaaaaa piga keleleWooooooyooooooooo
Love birds on point.....
Hongereni wapendanao
Ngoja nicheke kihutu Kwanzaahazard cfc we si ulitaka special uzi wa hii couple?Haya na ukuje
Wanataka itoke siredi mbaya halaf wanisema hao[emoji2]Mpenzi wangu hayupo vizuri kimaandishi ila kwakuongea yupo vizuri sana aiseeh
Nakaziaaaa nachochea nachocheaaaaa
Kwakweli dada habari nimeipata.... [emoji23][emoji23]habri unazoo mdog wangu
Muntu na muntu yakeeeeeAiceeh naona umu mambo za macouple zimepamba[emoji91][emoji91][emoji91][emoji91]
Kila mutu na mutu wake