[emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2]Nautuache kwakwel
Hahaaa kweli kabisa Mdogo wangu.Kitu kigeni lazima uchukue muda kidogo kikuzoea bana Dada yangu.
Vipi mzima huko Dada yangu?
Nami pia nimekumiss Kaka. Kulikoni siku mbili tatu hizi kimya?Hahaha usijali Dada yangu kipenzi nimekumiss
Ahsante sana mdogo wangu. Nitakaribia Mdogo wangu.Mimi pia mzima.
Karibu huku kwenye jiji jipya
Message to my love MwifwaDaah! Natamani kama ndio ningeandikiwa mie vileee haki ya nani kuna watu wanafaidi na kujua nn maana ya mapenzi. [emoji26][emoji26][emoji26][emoji26]
shukrani mkuuHongereni sana.[emoji8][emoji8][emoji8]
[emoji8] [emoji8] [emoji8] [emoji8] [emoji8] [emoji8]
HubbyMy love[emoji8] [emoji8] [emoji8] [emoji8] [emoji8]