The Only One My Love moneytalk

The Only One My Love moneytalk

Sio hali ya kawaida ujue, sema mitihani tumeumbiwa binadamu.
Hii nyota ya carba itabidi isafishwe sio kwa mateso hayo anayopitia.

Ila Mekumithiii, vipi unaendeleaje lakini kipenzi changu?
Atakuwa ana nyota ya Cheetah nyota ya kukimbiza watu.

Nimekumis baby, nimepamiss na nyumbani , am well.si unajua huku niliko mambo mengi.
Uko fine lakin?
 
Sio hali ya kawaida ujue, sema mitihani tumeumbiwa binadamu.
Hii nyota ya carba itabidi isafishwe sio kwa mateso hayo anayopitia.

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]yaani nyie.
Itakuwa nina nyota ya kunguru wa dar aiseh!!

Atakuwa ana nyota ya Cheetah nyota ya kukimbiza watu
 
Atakuwa ana nyota ya Cheetah nyota ya kukimbiza watu.

Nimekumis baby, nimepamiss na nyumbani , am well.si unajua huku niliko mambo mengi.
Uko fine lakin?
Mhhhh nadhani itakuwa nyota ya mwewe,

Jitahidi urudi baby, am scared staying alone. Wasalimie wote huko usisahau kuniletea zawadi.
Love you so much honey [emoji8].
 
Mhhhh nadhani itakuwa nyota ya mwewe,

Jitahidi urudi baby, am scared staying alone. Wasalimie wote huko usisahau kuniletea zawadi.
Love you so much honey [emoji8].
Hahahahaa! Hiyo ya mwewe nadhan iko inafaa

I love you my everything, haya ukae salama ntarudi mapema baby najua unaoata shda.
I love you.
 
Back
Top Bottom