Naona umependa somewhere.[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Ukidondoka shauri yako
Hongereni sanaView attachment 766824
Hebu tazama uzuri wa sayari nzuri uionayo kichwani kwako, ifikirie taswira ya raha uipatayo huko na kisha rejesha mawazo yako katika muonekano halisi wa dunia uipendayo.
Ingekuwa chaguo la moyo wangu Basi ningetengeza dunia nyingine nzuri nikaishi na wewe tu. We ni chanzo cha Furaha ya maisha yangu kwani kuridhika kwa moyo wangu ni pale nikuonapo tu zaidi ya tabasamu lako hapo hunifanya nihamishe mawazo na niende katika sayari nyingine kimawazo.
Natafakari ukaribu wako hasa pale uwapo karibu na Mimi ni zaidi ya upendo Mara unifunikapo kwa joto lako tamu la uaminifu.
Hakika katika kila hangaiko lina raha yake. Kwani weee ni kile kisima nilichokitafuta miaka nikitembea jangwani na nyikani na hatimae Leo nimefika katika maji matamu ya kuburudisha hisia zangu.
Najiachia na naruhusu nafsi yangu itulie kwako kwani wewe ndio chaguo sahihi la moyo wangu.
View attachment 766829
Nimemmiss mkeo akija mwambie akuje nyumbaniKipenzi changu[emoji8] [emoji8] [emoji8] [emoji8]
Pamoja sanaAhsante sana mkuu
Mtukaribishe basi na kufturu jamaniUsijali ngoja aivishe futari kwanza
Kabisa. Ila kwenye mapenzi usiweke miguu yote ndani.Wanaita kufa hadi kuoza..
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] halafu kuna sehem nimekuqoute kaka angu ni haujaona au uliamua tu kuuchunaKabisa. Ila kwenye mapenzi usiweke miguu yote ndani.
Niko hapa karibuMuda ndio huo unakaribia, kaa chonjo
WooooooozeeeeerIkibidi unaweka tu maana hamna namna, hasara siku zote ipo tu na haiepukiki kwa asilimia zote
Noops! Itakuwa sijaiona, hebu nitag nayo hiyo.[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] halafu kuna sehem nimekuqoute kaka angu ni haujaona au uliamua tu kuuchuna
Acha tu nilikuita tu nilivyokuonaNoops! Itakuwa sijaiona, hebu nitag nayo hiyo.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Ikibidi unaweka tu maana hamna namna, hasara siku zote ipo tu na haiepukiki kwa asilimia zote