Naona kishafika...
Hahaaa. Kweli kabisa. Na hapo hana pa kukwepea Sesten.Hayo ni maneno ya kumtoa nyoka pangoni.......hapo binti atakwepea wapi kwa mfano
Ngoja nicheke kihutu Kwanzaa
Hihiiiiiiiiiiiii[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]
My lovely wifiHahaha
Mimi sijambo
ShkamooNgoja nicheke kihutu Kwanzaa
Hihiiiiiiiiiiiii[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]
Barabara kabisa HajarHahaaaa. Kabisaaaaa.
Sababu kwenye kubembeleza yabembeleza haswa na kwenye kufunza yafunza haswaaa.
Ngoja nicheke kihutu KwanzaaHahaha
Mimi sijambo
You're right babyI love you na wote wanajua thats what matters baby
Chochea mdogo wangu chochea. Hahaaaaa. LolNakaziaaaa nachochea nachocheaaaaa
[emoji4][emoji4]
Nafurahi tu mkuu, alafu uliniambia nikiwaotea mkiwa pamoja tumuulize salamu alizipeleka wapi. Huu ndio muda muafaka sasa...Hahahaa
Braza mbona una nicheka
We nipe nywila zako tuu ukiwa tayari nakudondoshea uziWanataka itoke siredi mbaya halaf wanisema hao[emoji2]
Hahaaa. Tena si habari ya Masikhara ujue.Kwakweli dada habari nimeipata.... [emoji23][emoji23]
Nilijua nimegusa jiweee jambo ipoo nimekosa kampany hapa ya kupiga porojooo haya nakusubiri tukutane kihutuuuuuuuuHahahahaha lol! Mwenyezi Mungu anakuona ujue!
My babe wifii..My lovely wifi
Mefurahi kuona upo na afya njema, Vipi mambo mengine?