Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ndio shangwe zenyewe za maloveee hizo mkuu, sisi tujumuike kusherehekea na kuwatakia heri mkuuMkuu,rafiki nini yamekusibu leo naona bashashaa na nderemo kinywa kikitoa asalii [emoji1]
Kasoro mimi na wewe!Aiceeh naona umu mambo za macouple zimepamba[emoji91][emoji91][emoji91][emoji91]
Kila mutu na mutu wake
[emoji106] [emoji106]Sawa shem ngoja tumsubiri
Aisee waTZ mkiingia kule wenyewe watauzima mtandao wao maana [emoji23][emoji23][emoji23]Tujirejista afu tukapige umbea kule,wiki tu sie matajiri
Kweli kabisaaaUmeona eeh
Na Dabby nae bado
Kweli kabisaa mkuuNdio shangwe zenyewe za maloveee hizo mkuu, sisi tujumuike kusherehekea na kuwatakia heri mkuu
Eeeeh! [emoji2] [emoji2] [emoji2]
Jamani mbona leo mmenikamia!
Ngoja najiandaa siku nikutia uzi hapa jf yote mtaifunga mje kuucheki uzi wa kimataifa huo
Asanteh shemAisee kumbe bro anafaidi sana sio siri ana bahati kubwa kukupata....
Nimekusamehe shem
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Duh! Ila nyie wanaume hamna maana kabisa, sasa dada wa watu ataweka wapi kasura kake akijua kapigwa chini na mahaba yale
[emoji124] [emoji124] [emoji124]Jamani mkinionea mbalizi1 mwambieni namtafuta saaaana
Kabisaa braza [emoji3]Hahahaha
Haya bhana kaka
Najua sisi tunao chelewa kuandika siredi zikifika lazma zita simamisha mji
Unapenda kujifanya hujui topic weweBado mm nn dada!!!?[emoji12][emoji20][emoji19]
HatariiiiiiiiMuntu na muntu yakeeeee
hahahaYani Mwifwa kaanza kua chamdeko nae?
Nitafutie tuu aki[emoji124] [emoji124] [emoji124]
Ndugu yanguAisee kumbe bro anafaidi sana sio siri ana bahati kubwa kukupata....
Nimekusamehe shem
HahahaUnapenda kujifanya hujui topic wewe