The Only One My Love moneytalk

The Only One My Love moneytalk

Hizi ndoa za karibu na mfungo ndiyo ambazo mke huitwa Mke futari? Hii ya Mwifwa sidhani kama itakuwa hivyo Mkuu. Huyu si mkurupukaji Mkuu.

Hawa vijana hawakawii kufanya mageuzi. Watu wakwetu nawafahamu kwa misimamo. Najua hajakurupuka ndio maana nna ujasiri wa kuletewa suti tatu.
 
Back
Top Bottom