Shunie
JF-Expert Member
- Aug 14, 2016
- 154,929
- 459,607
Khaaa hajafikisha salaam zangu jamani aliniambia utarudi nimefurahi sana kukuonaMmmh! Niwe mkweli bae sista hajanipa salam. Ni kweli nilipotea ila nadhani pia bar sista alikwambia ntarud
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Khaaa hajafikisha salaam zangu jamani aliniambia utarudi nimefurahi sana kukuonaMmmh! Niwe mkweli bae sista hajanipa salam. Ni kweli nilipotea ila nadhani pia bar sista alikwambia ntarud
Wivu tu watu wa hivyo unawasumbuaumeona eeeh
HahahaKhaaa hajafikisha salaam zangu jamani aliniambia utarudi nimefurahi sana kukuona
Story niliweka weka sasa hivi tupo na arostoHahaha
Atakuwa alisahau, nimefurahi kukuona
Sjapitia bado.kwenye stori zetu kule najua nimekosa mengi tuu
Jamaa naye ana zitoa kidogo kidogo?Story niliweka weka sasa hivi tupo na arosto
Babe lunch time hii, twende hoteli gani?
Yaan anabana sana sasa hivi mpaka hasira carba anatamani kunimeza yaaniJamaa naye ana zitoa kidogo kidogo?
Hahhaha ndio uamini sasaSitaki kuamini macho yangu jamani[emoji23][emoji23][emoji23]
Hongereni sana,mpendane kuliko neno lenyewe kupendana,mvumiliane na kushikamana.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]we acha tu.Yaan anabana sana sasa hivi mpaka hasira carba anatamani kunimeza yaani
HahahahYaan anabana sana sasa hivi mpaka hasira carba anatamani kunimeza yaani
[emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122]Sitaki kuamini macho yangu jamani[emoji23][emoji23][emoji23]
Hongereni sana,mpendane kuliko neno lenyewe kupendana,mvumiliane na kushikamana.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]unanichokoza ujue?[emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122]
This is called maturity.
shukrani mamieSitaki kuamini macho yangu jamani[emoji23][emoji23][emoji23]
Hongereni sana,mpendane kuliko neno lenyewe kupendana,mvumiliane na kushikamana.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]unanichokoza ujue?
Hahhaha nalijua hilo niliona post zako nikapita kimya cha kuongea sina[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]we acha tu.
Nimeenda kuchungulia nikakuta kimya,nimenunaje?
Kasome kwanza kuna episode haujazisomaHahahah
Itabid nije nifuatilie ile ingine tuu
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]usinichekeshe bhana.Weee!!
Kwa hyo kina carbamazapine wote piga chini pamoja na kubebishana kote kule!!
Anhaa sawaKasome kwanza kuna episode haujazisoma
Unachocheaaaa
Acha kufukua makaburi [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]usinichekeshe bhana.