Iceman 3D
JF-Expert Member
- Sep 3, 2016
- 20,611
- 67,094
MT mi nawabariki kabsaawala usijali wangu kipenzi sitakuacha kwaajili yamaneno ya waja
Ila tu Katika harakat za kumtafuta mpendwa wangu alo potea ndio nika pitia kuwauliza kama mnajua
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
MT mi nawabariki kabsaawala usijali wangu kipenzi sitakuacha kwaajili yamaneno ya waja
Muulize Cole Williams ndio ataweza kukupa jibu sahihi[emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2]
Jamani mimi shida yangu ni carbamazepine bas sihitaj jengine
Babe embu mwambieBasi akija utamuona tu wala usipate shida sana
kuwa mpole shem atajitokeza tuHamna [emoji2]
Atakuwa kajificha sehem ila mimi namtafuta tuu nimwone yaan
Aaaah! Sawa ngoja nika muulizeMuulize Cole Williams ndio ataweza kukupa jibu sahihi
[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1][emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2]
Jamani mimi shida yangu ni carbamazepine bas sihitaj jengine
babe unataka kuniamshia wadudu sasa,sio wamaneno hayo matamu hadi nimehisi kusisimka!uwahi kurudiMimi pia sikuachi kabisa hata walimwengu waemeje, upendo wangu kwako hauna kifani
Niko tayari kipenziBabe nishafika njoo huku ndani
Haaa mambo ya mibebishoNiko tayari kipenzi
nakupenda hubby wangu,unajua wewe nikila kitu kwanguBabe nimekuona kule kwenye uzi wa Shunie nikakukimbilia kabla sijafika nikaona umefika na huku kwetu.
Nakupenda sana kipenzi changu[emoji8] [emoji8] [emoji8] [emoji8] [emoji8]
NirahaaaaHaaa mambo ya mibebisho
Mzee baba unakaba balaa,,,yani wewe ni john terry enzi za ubora wakeBabe nimekuona kule kwenye uzi wa Shunie nikakukimbilia kabla sijafika nikaona umefika na huku kwetu.
Nakupenda sana kipenzi changu[emoji8] [emoji8] [emoji8] [emoji8] [emoji8]
Ulipo yupo...wanyoosheni mpaka wafungue siled[emoji23] [emoji23]Nirahaaaa
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Ulipo yupo...wanyoosheni mpaka wafungue siled[emoji23] [emoji23]
nakupendaAhsante kwa jibu zuri ubavu wangu