Shunie
JF-Expert Member
- Aug 14, 2016
- 154,929
- 459,607
Nimeshanawa jamaniNawa mikono kabisa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nimeshanawa jamaniNawa mikono kabisa
Asante shem nimekaribiaKaribu upumzike kidogo kwenye jamvi
Hapana dada. Nautamani bure nione. Mzima lakini dada'angu!?Acha tu nilikuita tu nilivyokuona
Shem jamani mwambie asijali niko nasubiriNikupe tu pole kwanza kabla wifi yako anapakua futari....
Mm mzima sana kaka angu hofu kwako tuHapana dada. Nautamani bure nione. Mzima lakini dada'angu!?
Mungu mkubwa dada. Uhai unapatikana, mengine majaaliwa.Mm mzima sana kaka angu hofu kwako tu
Ameen kaka angu hiko ndio muhimu sanaMungu mkubwa dada. Uhai unapatikana, mengine majaaliwa.
Amina. [emoji120]Ameen kaka angu hiko ndio muhimu sana
Ubarikiwe mnooo kaka anguAmina. [emoji120]
Leo nimepata ka chance kidogo kakuzurula humu.
Asante dada wa mie. Naamini for the being of time tutakuwa pamoja.Ubarikiwe mnooo kaka angu
[emoji120] Amina. Kaka. Nipo pamoja nanyi.Ahsante kwa kutia baraka zako humu mkuu
mwanaume wamaisha yanguKipenzi changu[emoji8] [emoji8] [emoji8] [emoji8]
Kabisaa hubbyWanaita kufa hadi kuoza..
Nimekuja loveNimemmiss mkeo akija mwambie akuje nyumbani
mume wanguUsijali ngoja aivishe futari kwanza