FairPlayer
JF-Expert Member
- Feb 27, 2006
- 4,145
- 723
Bravo Mbowe!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
So, Mbowe is now bitter kwamba mialiko ya ikulu kwa wapinzania inakuja kwa kudunduliza!
When will the opposition formulate their own agenda. Kila siku it is about responding to what others have said and done, about events and news. Kukitokea mgomo wa mahabusu, Mbatia anaitisha press conference, Rais akisafiri na wabunge wa upinzani, Mbowe anaandika "tafakuri", Makamba akifanya mkutano wa hadhara Mbulu na kuiba wanachama wa upinzani, you will hear Mrema calling a press conference, Rais akitoa hotuba, ajenda za Mbowe zinatoka kwenye hiyo hotuba ya Rais, Kandoro akiondoa wamachinga katikati ya jiji, Zitto anashiriki maandamano yao ya kupinga, Sitta aki...., I could go on and on.
It is one thing to write a poetic article, it is another to shape a public debate. Katika hili, CHADEMA wamekuwa muflis. Bila hili, wapinzani watabakia kuwa walalamishi tu kila siku. Upinzani ni uongozi vilevile, na huwezi kuongoza kama unashindwa ku-inspire watu kuwaza na kufikiri juu ya hali zao na namna ya kujiendeleza. Huwezi kuongoza watu kwa ku-point out what others are doing or saying. What is the difference then between Mbowe na Mzee Mwanakijiji? Seriously. Just read their stuff and compare. Mwanakijiji stuff has more depth. Lakini sishangazwi na hili. It would be unfair to expect mtu kama Mbowe to come up with any original idea. He is not Maalim Seif. This is not Lip Lip Lipumba!
The bottom line: Mr. Mbowe, think and inspire Tanzanians to think. Don't just point out what Kikwete said in December 2005 and whether he has lived up to it. Yes, it is important task kuwakumbusha viongozi maneno yao. But yours should be larger task: to inspire Tanzanians. If you cannot, forget about a political career.
Invincible... kumpa mtu jina haina maana unadhoofisha hoja zake! Kama tumbili anatoa hoja zenye nguvu ni bora kumsikiliza kuliko "mtu" anayetoa hoja zenye pumba!! Kama hukubaliani na hoja zake mwaga sababu zako badala ya kusingizia aliyetoa hoja ni "nyani" au "tumbili"...!!
Mzee Wangu Invincible,
Heshima mbele mkuu, du leo kwa mara ya kwanza umenishitua ndugu yangu, kauli nzito hizo, Mzee Kada amajibu hoja, hakukuwa na sababu za majina wakati jamaa jinalake hapa ni Mugongo Mugongo,
ukimuomba radhi itakuwa ni heshima kubwa sana kwa forum ndugu yangu, ninajua kuwa wewe ni veteran wa huu mchezo lakini lugha ni nzito kidogo!
KWAKO MH MBOWE,
TUNAOMBA NA WEWE UWE UNAJADILI MAMBO YA MSINGI NA KWA KINA ( STATISTICALLY ) KAMA ALIVYOFANYA PROF HAPO