I agree! Na hilo ndo tatizo na mara nyingi ukiangalia watakao athirika ni watoto wa wanyonge na wala sio watoto wa wakubwa waliosomea St Mary`s au Mzizima..... Na mara nyingi mtoto wa mnyonge ndo kapitia shida kibao mpaka kufika University. Sasa imagine the ONLY HOPE ya mtu kama huyo unaiua kwa vile hawezi kulipa tuition! Sipati picha ya mtu aliyesomea Sumbawanga au Kigoma shule ya msingi mpaka form six! Anapofaulu kuingia chuo unamwambia kwanza alipe!! Its horrible and immoral!!!!.
Again unafikiri kipi kifanyike? watoto wa wakubwa na watoto wa akina Kalumanzira wa coexist katika unfair system kama TZ?? My point iz tunakoelekea mtoto wa Kulumanzira hana wa kumsemea wala kutetea maslahi yake, sasa je afanye nini? ndo hapo inabidi tutafute njia mbadala za kudai haki....Mimi na wewe tuna mawazo tofauti NOT ON WHAT SHOULD BE DONE, BUT HOW IT SHOULD BE DONE! My last word is....."Sweat and tears both are salty, but they render different results, while the former will give you change, the latter will give you sympath"