The Only Thing We Have to Fear is Fear itself

JF ya enzi hizo, hoja zilikuwa zinapanguliwa kistaarabu.
Watu walikuwa wana heshimiana hata kama wanatofauti zao kichama.

Natamani JF hii irudi
cc JamiiForums Mod
 
JF ya enzi hizo, hoja zilikuwa zinapanguliwa kistaarabu.
Watu walikuwa wana heshimiana hata kama wanatofauti zao kichama.

Natamani JF hii irudi
cc JamiiForums Mod
Magufuli hataki "free minded" kama enzi hizo.
Magufuli anataka kila kitu kumsifia yeye tu na serikali yake (blinded mind).
 
Jibu lipo hapa kwenye bold Kwa wale waliokuwa na maswali.
===

3. Nitashiriki kadri fursa zitakavyoniruhusu, hata hivyo, mniruhusu nisijiingize kwenye malumbano yasiyo na "substance."
Hivi threads zote za humu JF hazina substance kiasi cha kukufanya usirudi jukwaa hili to Dec 4, 2006? Au ulipoteza password ya account ya JF?

Kama ni issue ya password moderators please do the needful, Mkuu apate access ya account yake.
 
Mwamba mwenyewe .

Sent from my SM-J500H using JamiiForums mobile app
 
Mwamba haingii jf kibwege anaingia kwa mipango

Sent from my SM-J500H using JamiiForums mobile app
 
Huyu Mwamba Kumbe Yumo.

Ndio maama hateteleki.

Uimara wako Mwamba umeacha vijana imara huku mtaani hata kama haupo.

May Allah Bless You.
 
Hii comment ingetolewa kipimdi cha Jiwe au Hangaya Kichwa cha mtoa kommemt kingekuwa halali yao.
 
Vigogo kama Vigogo.
 
2006 mlikuwa mna commeny kwa kutumia smartphone au ni mpaka mwende Internet cafe?
 
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…