Tulia lumumba, mmeshindwa kutushawishi sisi tusiowaelewa miaka yote humu jf unataka Mbowe arudi kufanya nini?Jibu lipo hapa kwenye bold Kwa wale waliokuwa na maswali.
===
Hivi threads zote za humu JF hazina substance kiasi cha kukufanya usirudi jukwaa hili to Dec 4, 2006? Au ulipoteza password ya account ya JF?
Kama ni issue ya password moderators please do the needful, Mkuu apate access ya account yake.
Mimi nimekuwa mfunga watu tena...ha ha haaa! Huo ubavu nautoa wapi?paka mmemtafutia sababu ya kumfunga jela.
Aluta Continua..CHANGAMOTO: KWA KUFICHA MAJINA YETU UJASIRI WETU WA KUHOJI, KULAUMU NA KUHUKUMU UNAPINGANA NA DHAMIRA YA HARAKATI? HARAKATI NA WOGA VINAENDANA? WOGA UNAWEZA KUOKOA TAIFA?
Freeman Mbowe
Robert Heriel Mtibeli ulikuwa darasa la ngapi wakati FAM anaandika huu Uzi.?
We dogo kabisa mtibeli 🤗Class Six
We dogo kabisa mtibeli 🤗
Muda unakimbia Sana . huyu Mbowe mwaka 2005 alikuwa anaitwa Kijana wa helicopter.Nina ngazi tatu na ushee Mkuu
.aiseehMuda unakimbia Sana . huyu Mbowe mwaka 2005 alikuwa anaitwa Kijana wa helicopter.