The owner of the biggest farm in Africa, Unajua alipo? 😊🌍

Leta mtu mmoja Kenya mwenye shamba lake binafsi lote lipo utilised kwa hizo hekari, sio unalialia hapa.

Huyu ndio supplier wa nguzo za umeme Kenya, serikali yenu inamlipa.

Tembea Kenya utafute nguzo za umeme za mbao. Ukipata rudi hapa useme.
Kenya we use concrete.
 
Am talking about this thing πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡


Hata bundle ya kuview 4 minutes video huna.

Old things that are being replaced.
The last time Kenya Power bought wooden poles was maybe 10 years ago.
 
Del Monte 22,000 acres.
Kericho tea plantations, over 800,000 acres.
Make Google your friend. Usitusumbue.
Hahaha Kericho tu yote kwa ujumla haizi acres 525,000.

Punguza kuropoka hovyo JF hujui careers za watu humu.
 
Old things that are being replaced.
The last time Kenya Power bought wooden poles was maybe 10 years ago.
2016 ndio 10 years ago? Bado zinatumika kwenye other cable utility wood transmissions especially in communications systems.
 
Jidanganye, siku Kenya itaipita Tanzania kwenye sector ya kilimo ni siku Tanzania imeanza kulima mpunga huko Mars
Boss hebu leta takwimu zinazoeleweka, kuhusu kilimo ukilinganisha Kenya na Tz. Sio beef, maziwa, pork, maparachichi, chai, kahawa, horticultural products kama maua na french beans zote hizo Kenya tunazalisha zaidi ya Tz. Alafu kumbuka kwamba 89% ya ardhi ya Kenya sio 'arable', yaani ni jangwa.
 
Hata ingekua arable kote mtalima nchi nzima?usilalie kichwa ivyo wewe
 
Hakuna chochote mnachozalisha kuizidi Tanzania huwezi kusema beef, maziwa, pork mnaizidi Tanzania wakati Tanzania ni nchi ya pili Africa kwa wingi wa mifugo labda mseme mnapaki maziwa mengi ya unga (chemicals) kuizidi Tanzania

Parachichi its a joke sababu 70% ya your export avocado are sourced from Tanzania the same thing with other horticulture produces.

Mind you mnakufa kwa njaa and your government requested to buy 1 million tonnes of cereals from Tanzania last month and of course we are feeding 70% of your food markets, this is more than statistics thank you.
 
Eti chemicals? Sawa nimekuelewa. Kenya ndio the largest exporter wa maparachichi Afrika. Kama nyinyi ndio mnasupply maparachichi 70% ya Kenya ilifaa nyinyi ndio muwe largest exporter wa maparachichi duniani hata sio Afrika. Kuna tofauti kati ya kilimo biashara na huo ukulima wenu wa jembe, wa kubahatisha. Karibu Kenya uone ukulima wa kisasa wa karne hii, utajifunza mengi.
 
Kilimo kipi watu wanakufa njaa?
Hamuwezi kujitosheleza chakula?
Hivi hata mna state agriculture Bank kweli?
Mna kiwanda cha tractors?
How many agricultural universities do you have?
 
Hata ingekua arable kote mtalima nchi nzima?usilalie kichwa ivyo wewe
Sijaelewa point yako. Wewe tia akilini kwamba 11% tu ya ardhi ya Kenya ndio ina hali ambayo ni 'fit' kwa ukulima. Na bado tunazalisha bidhaa zote hizo nilizotaja zaidi yenu. Kama unabisha njoo na takwimu zako uchwara tuzichambue.
 
Sijaelewa point yako. Wewe tia akilini kwamba 11% tu ya ardhi ya Kenya ndio ina hali ambayo ni 'fit' kwa ukulima. Na bado tunazalisha bidhaa zote hizo nilizotaja zaidi yenu. Kama unabisha njoo na takwimu zako uchwara tuzichambue.
Hahaha
Mcheki kijana mdogo wa kitanzania akiwa kwenye mitikasi, hii kwa Tanzania ni kawaida

Mind you dogo ana thousands of acres hapo and everything is digitalism.

 
Kilimo kipi watu wanakufa njaa?
Hamuwezi kujitosheleza chakula?
Hivi hata mna state agriculture Bank kweli?
Mna kiwanda cha tractors?
How many agricultural universities do you have?
Jombaa, sina huo muda wa kuruka ruka bila agenda kama wewe. Umesema hakuna kitu ambacho Kenya inazalisha zaidi ya Tz kwenye kilimo. Thibitisha madai yako la sivyo baki kimya na majungu yako. Hayo mengine ya ziada ni mambo ya kawaida sana. Umesikia kuhusu co-operatives za wakulima wa Kenya, na banki yao ya Co-Op Bank? Hivi kuna chuo kikuu cha ukulima ukanda huu ambacho kinazidi JKUAT(Jomo Kenyatta University of Agriculture and Technology)? Hebu taja hizo banki zenu na vyuo vikuu vyenu vya ukulima. Alafu unioneshe ni wapi vimetajwa kwenye orodha ya banki au vyuo vikuu bora Afrika.
 
Usifikiri ni ninyi peke yenu mnalishwa na the giant Tanzania

Mpo wengi....


 
Mleta mada, endelea kutelea video, mimi ntazidi kukuletea takwimu. Kenya ipo kwenye top 10 duniani, ya nchi ambazo zinazalisha maparachichi kwa wingi, na ku'export' pia. Hapo Kenya ilikuwa inashikilia nafasi ya 6 duniani, na ya kwanza Afrika. Mwaka jana Kenya ilishikilia nafasi ya 7 duniani. Tanzania haipo hata kwenye top 70.
 
Mwaka jana Kenya ilikuwa nchi ya tatu duniani kwa uzalishaji wa majani chai na nchi ya kwanza duniani kwenye 'export' ya majani chai. Tanzania, No.16, Kenya inazalisha zaidi ya mara kumi ya majani chai yanayozalishwa Tz.
 
Kahawa pia tupo. #19 duniani, #4 Afrika. Takwimu za 2018.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…