kennedy0000
JF-Expert Member
- Apr 14, 2012
- 4,349
- 3,745
Show us with proof. Jamaa kaweka mpaka link. Acha maneno maneno mkuu.
Del Monte 22,000 acres.
Kericho tea plantations, over 800,000 acres.
Make Google your friend. Usitusumbue.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Show us with proof. Jamaa kaweka mpaka link. Acha maneno maneno mkuu.
Leta mtu mmoja Kenya mwenye shamba lake binafsi lote lipo utilised kwa hizo hekari, sio unalialia hapa.
Huyu ndio supplier wa nguzo za umeme Kenya, serikali yenu inamlipa.
Am talking about this thing 👇👇👇👇
![]()
Hata bundle ya kuview 4 minutes video huna.
2016 ndio 10 years ago? Bado zinatumika kwenye other cable utility wood transmissions especially in communications systems.Old things that are being replaced.
The last time Kenya Power bought wooden poles was maybe 10 years ago.
Jidanganye, siku Kenya itaipita Tanzania kwenye sector ya kilimo ni siku Tanzania imeanza kulima mpunga huko Mars
Hata ingekua arable kote mtalima nchi nzima?usilalie kichwa ivyo weweBoss hebu leta takwimu zinazoeleweka, kuhusu kilimo ukilinganisha Kenya na Tz. Sio beef, maziwa, pork, maparachichi, chai, kahawa, horticultural products kama maua na french beans zote hizo Kenya tunazalisha zaidi ya Tz. Alafu kumbuka kwamba 89% ya ardhi ya Kenya sio 'arable', yaani ni jangwa.
Hakuna chochote mnachozalisha kuizidi Tanzania huwezi kusema beef, maziwa, pork mnaizidi Tanzania wakati Tanzania ni nchi ya pili Africa kwa wingi wa mifugo labda mseme mnapaki maziwa mengi ya unga (chemicals) kuizidi TanzaniaBoss hebu leta takwimu zinazoeleweka, kuhusu kilimo ukilinganisha Kenya na Tz. Sio beef, maziwa, pork, maparachichi, chai, kahawa, horticultural products kama maua na french beans zote hizo Kenya tunazalisha zaidi ya Tz. Alafu kumbuka kwamba 89% ya ardhi ya Kenya sio 'arable', yaani ni jangwa.
Eti chemicals? Sawa nimekuelewa. Kenya ndio the largest exporter wa maparachichi Afrika. Kama nyinyi ndio mnasupply maparachichi 70% ya Kenya ilifaa nyinyi ndio muwe largest exporter wa maparachichi duniani hata sio Afrika. Kuna tofauti kati ya kilimo biashara na huo ukulima wenu wa jembe, wa kubahatisha. Karibu Kenya uone ukulima wa kisasa wa karne hii, utajifunza mengi.Hakuna chochote mnachozalisha kuizidi Tanzania huwezi kusema beef, maziwa, pork mnaizidi Tanzania wakati Tanzania ni nchi ya pili Africa kwa wingi wa mifugo labda mseme mnapaki maziwa mengi ya unga (chemicals) kuizidi Tanzania
Parachichi its a joke sababu 70% ya your export avocado are sourced from Tanzania the same thing with other horticulture produces.
Mind you mnakufa kwa njaa and your government requested to buy 1 million tonnes of cereals from Tanzania last month and of course we are feeding 70% of your food markets, this is more than statistics thank you.
Kilimo kipi watu wanakufa njaa?Eti chemicals? Sawa nimekuelewa. Kenya ndio the largest exporter wa maparachichi Afrika. Kama nyinyi ndio mnasupply maparachichi 70% ya Kenya ilifaa nyinyi ndio muwe largest exporter wa maparachichi duniani hata sio Afrika. Kuna tofauti kati ya kilimo biasha na huo ukulima wenu wa jembe, wa kubahatisha. Karibu Kenya uone ukulima wa kisasa, utajifunza mengi.
Sijaelewa point yako. Wewe tia akilini kwamba 11% tu ya ardhi ya Kenya ndio ina hali ambayo ni 'fit' kwa ukulima. Na bado tunazalisha bidhaa zote hizo nilizotaja zaidi yenu. Kama unabisha njoo na takwimu zako uchwara tuzichambue.Hata ingekua arable kote mtalima nchi nzima?usilalie kichwa ivyo wewe
HahahaSijaelewa point yako. Wewe tia akilini kwamba 11% tu ya ardhi ya Kenya ndio ina hali ambayo ni 'fit' kwa ukulima. Na bado tunazalisha bidhaa zote hizo nilizotaja zaidi yenu. Kama unabisha njoo na takwimu zako uchwara tuzichambue.
2000 pekee? Unachekesha
My grandFa Ako na 3530acres ya tea Lari,kiambu county.
Jombaa, sina huo muda wa kuruka ruka bila agenda kama wewe. Umesema hakuna kitu ambacho Kenya inazalisha zaidi ya Tz kwenye kilimo. Thibitisha madai yako la sivyo baki kimya na majungu yako. Hayo mengine ya ziada ni mambo ya kawaida sana. Umesikia kuhusu co-operatives za wakulima wa Kenya, na banki yao ya Co-Op Bank? Hivi kuna chuo kikuu cha ukulima ukanda huu ambacho kinazidi JKUAT(Jomo Kenyatta University of Agriculture and Technology)? Hebu taja hizo banki zenu na vyuo vikuu vyenu vya ukulima. Alafu unioneshe ni wapi vimetajwa kwenye orodha ya banki au vyuo vikuu bora Afrika.Kilimo kipi watu wanakufa njaa?
Hamuwezi kujitosheleza chakula?
Hivi hata mna state agriculture Bank kweli?
Mna kiwanda cha tractors?
How many agricultural universities do you have?
Usifikiri ni ninyi peke yenu mnalishwa na the giant TanzaniaJombaa, sina huo muda wa kuruka ruka bila agenda kama wewe. Umesema hakuna kitu ambacho Kenya inazalisha zaidi ya Tz kwenye kilimo. Thibitisha madai yako la sivyo baki kimya na majungu yako. Hayo mengine ya ziada ni mambo ya kawaida sana. Umesikia kuhusu co-operatives za wakulima wa Kenya, na banki yao ya Co-Op Bank? Hivi kuna chuo kikuu cha ukulima ukanda huu ambacho kinazidi JKUAT(Jomo Kenyatta University of Agriculture and Technoly)? Hebu taja hizo banki zenu na vyuo vikuu vyenu vya ukulima. Alafu unioneshe ni wapi vimetajwa kwenye orodha ya banki au vyuo vikuu bora Afrika.
Del Monte 22,000 acres.
Kericho tea plantations, over 800,000 acres.
Make Google your friend. Usitusumbue.
Kericho tea plantations za daChamji,Finlays na Brook wako na more than 10k acres each.