The owner of the biggest farm in Africa, Unajua alipo? 😊🌍

The owner of the biggest farm in Africa, Unajua alipo? 😊🌍

2000 pekee? Unachekesha
My grandFa Ako na 3530acres ya tea Lari,kiambu county.
Hizi fix sasa, mbona hukutuambia muda wote huo? Mzee wako kakudanganya yeye ni mlinzi tu kwenye shamba la hekari 10, ndio approach hiyo aliyotumia kumnasa bibi yenu sasa anatumia mpaka kwa wajukuu.
 
Kuna watu huwa wamekuzwa kuwaita wananchi wa nchi flani kwamba ni wavivu sana lakini hawajui chakula kilichopo mezani kila siku nchini mwao kote zaidi ya 50% kinatoka kwenye mikono ya "wavivu"

Tuachane na mambo ya vyakula, sasa tupo kwenye infrastructures, kutana na muafrika billionaire mwenye shamba kubwa kuliko shamba lolote lililopo Africa.

Bakresa farm in bagamoyo is 5000+ miwa, Philps family in dabaga is 5000+ (ngombe maziwa n shairi just to mention a few,huyo cha mtoto
 
Hawa majirani zetu wanafanya ukulima wa jembe, sasa wakisikia 2,000 acres wanaona wametisha kweli kweli. Narok County kuna mmaasai wa ukoo wa Purko analima ngano kwenye 5,600 acres. Alafu sio yeye tu, kuna wengine wengi sana kwenye gatuzi hilo moja.
Jidanganye, siku Kenya itaipita Tanzania kwenye sector ya kilimo ni siku Tanzania imeanza kulima mpunga huko Mars
 
Bakresa farm in bagamoyo is 5000+ miwa, Philps family in dabaga is 5000+ (ngombe maziwa n shairi just to mention a few,huyo cha mtoto
Naelewa hata mkulazi ni zaidi ya 10000

Lakini hapa tunaongelea shamba la miti, mbona video ipo wazi?
 
Sleeping giant... Wachina wanapiga pesa ya kufuru
Wachina wanapiga sana pesa sababu wanazo processing plants maana hata ile sawdust inakua processed Kutengeneza plywoods etc lakini Watanzania nao wanakuja juu sababu hiyo mitambo wanaanza kuimiliki mdogomdogo

Kufikiria namna ya kuongeza value kwenye mbao kwa Watanzania wengi ni ngumu sababu hata soko la kuuza mbao ambazo hazijawa highly processed ni kubwa sana, Watanzania wanapeleka mbao mpaka Sudan, Zimbabwe etc
 
Hapana hizi ni watermelons

transmission_poles4.jpg
This is the 21st century wake up from your slumber
 
Chai inalipaà by far
Ata miti kitambo ilikuwa sawa but nowadays haina soko,
Sasa chai nani halimi? Huwezi kufananisha chai inayolimwa na kila mtu kama mchicha na hii production ya electric poles, watch the video, the guy is producing more than 2000 units of poles per day in daily basis sababu shamba limepandwa kwa intervals

Sasa ninyi na machai yenu mna huo ubavu? And still the demand is higher and hardly even to satisfy by a halfway, chai uchafu gani?
 
Of course it's a 21st century you don't have an idea those are infrastructures
Then again we live in different parts of the world ....good for you then with you ''infrastructures''
 
Then again we live in different parts of the world ....good for you then with you ''infrastructures''
and you will never live in a different part of the world better and highly determined more than US

Screenshot_2019-08-03-09-10-42.png
 
Zote. Wanaolima chai wana maisha mazuri sana
tuusan
Hawajafikia maisha haya ya Watanzania kwenye ranchi za taifa, Tanzania ina ranchi nyingi za taifa ambazo zipo more productive na zina acres in terms of 100,000s countryside

EBBNqflWsAABe7J.jpeg

Mind you, ranchi hiyo hapo juu ipo kwenye the hottest Region of Tanzania. Wakati kwenu the hottest County watu wanakufa kwa njaa.
 
Sasa chai nani halimi? Huwezi kufananisha chai inayolimwa na kila mtu kama mchicha na hii production ya electric poles, watch the video, the guy is producing more than 2000 units of poles per day in daily basis sababu shamba limepandwa kwa intervals

Sasa ninyi na machai yenu mna huo ubavu? And still the demand is higher and hardly even to satisfy by a halfway, chai uchafu gani?
Hapa Kenya such poles zilipitwa na wakati enzi za kibaki,
Ata tea factories ambao walikuwa major customer nowadays wanatumia electricity Kwa Kila kitu,
Dunia inabadilika,bakini kuwa 20th century
 
Hawajafikia maisha haya ya Watanzania kwenye ranchi za taifa, Tanzania ina ranchi nyingi za taifa ambazo zipo more productive na zina acres in terms of 100,000s countryside

View attachment 1170988

Mind you, ranchi hiyo hapo juu ipo kwenye the hottest Region of Tanzania. Wakati kwenu the hottest County watu wanakufa kwa njaa.

Story ya Hay grass Nakuru na uasin ngishu county imejaaa sana,
Uzuri Kenya prices ziko juu na pia diary farming iko another level unlike down there unauza bei ya kutupa
 
Hapa Kenya such poles zilipitwa na wakati enzi za kibaki,
Ata tea factories ambao walikuwa major customer nowadays wanatumia electricity Kwa Kila kitu,
Dunia inabadilika,bakini kuwa 20th century
Am talking about this thing 👇👇👇👇
transmission_poles4.jpg

Hata bundle ya kuview 4 minutes video huna.
 
2000 acres make it the biggest farm in Africa? [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] Maybe the biggest in Mbeya.
Lack of exposure and a poor education system shows once again.

The number of plantations with thousands of acres in Kenya is beyond count.
Show us with proof. Jamaa kaweka mpaka link. Acha maneno maneno mkuu.
 
Story ya Hay grass Nakuru na uasin ngishu county imejaaa sana,
Uzuri Kenya prices ziko juu na pia diary farming iko another level unlike down there unauza bei ya kutupa
Usikariri maisha, these are some of the products from that single ranch, mind you, we have more than 15 ranches countrywide na bei za mifugo ni nzuri pia

D9nrMgaXkAA_sRT.jpeg
EBBHVlyXYAEbyBu.jpeg
D-oCoagX4AAF9TJ.jpeg
 
Kwenye suala la uchawi,asijitetee,NI WACHAWI🏃‍♂️🏃‍♂️🏃‍♂️
 
Back
Top Bottom