The owner of the biggest farm in Africa, Unajua alipo? 😊🌍

Nchi top 10 duniani kwenye exports za maua.
world-flower-industry.jpg
[emoji1139][emoji1139][emoji1139] redeemer, hii bendera ukiiona popote pale isujudie haraka haraka bila kusita.
 
where-tea-is-grown-top20-countries.jpg
Mwaka jana Kenya ilikuwa nchi ya tatu duniani kwa uzalishaji wa majani chai na nchi ya kwanza duniani kwenye 'export' ya majani chai. Tanzania, No.16, Kenya inazalisha zaidi ya mara kumi ya majani chai yanayozalishwa Tz.
The only crop I will realise that you surpassed us is this lakini huko kwengine hakuna kitu japo hata hapa kwenye chai tupo juu Africa

Nchi top 10 duniani kwenye exports za maua.
world-flower-industry.jpg
[emoji1139][emoji1139][emoji1139] redeemer, hii bendera ukiiona popote pale isujudie haraka haraka bila kusita.
Tanzania in 2018 ilikuwa 2nd largest producer of maize in Africa

Nchi top 10 duniani kwenye exports za maua.
world-flower-industry.jpg
[emoji1139][emoji1139][emoji1139] redeemer, hii bendera ukiiona popote pale isujudie haraka haraka bila kusita.
This is from your fellow Kenyan but in reality Tanzania is 2nd in Africa and 5th in the world, Tanzania can predict the world prices for the cashews

Nchi top 10 duniani kwenye exports za maua.
world-flower-industry.jpg
[emoji1139][emoji1139][emoji1139] redeemer, hii bendera ukiiona popote pale isujudie haraka haraka bila kusita.
Tanzania is leading Africa in all varieties of potatoes, in 2020 will lead the world

The number of hungry people in thousands of numbers in Kenya is beyond count [emoji16][emoji16][emoji16]

Muwe na maelfu ya hekari halafu mfe njaa? Kwanza ardhi yenyewe ipi? Hiyo jahanam
Wakati ardhi yenyewe karibia yote inamilikiwa na Kenyatta family
 
Tanzania is leading Africa in cotton production

Is twitter a reliable source? Wewe jamaa unapenda ligi sana. Mbona nyie mnazalisha korosho, sesame na mihogo kwa wingi afrika nzima na tumekubali?
Kenya: tea, coffee, avocadoes, sweet potatoes, sugarcanes, wheat,mangoes, milk and meat ,sisal ..n.k
 
I tell you, mimi namletea takwimu kutoka kwa mashirika ya kuaminika kama FAO na yeye anatupia tweets na video za ajabu ajabu. Did you know that Kenya is the third largest producer and exporter of Macadamia after S.Africa and Australia? Macadamia is the most expensive nut in the world.
 
Tanzania is leading the world's dry beans production

Look at this fool, peleka tweets zako mbali. In this world of today kuna wenye huargue kutumia Twitter kweli?
 
Tanzania is the largest Banana producer in Africa and leading in the world

Huo ndio upuuzi unaoendelea kwenye jukwaa hili siku hizi. Alianza kwa kusema kwamba hakuna chochote ambacho Kenya inazidi Tz kwenye kilimo, bila kuleta takwimu zozote. Sasa amepanick baada ya kuona tunawazidi kwa export na uzalishaji pia, wa bidhaa nyingi zaidi. Nchi ambayo ni jangwa kwa asilimia 89%!
 
Back
Top Bottom