chuma cha reli
JF-Expert Member
- Jul 2, 2012
- 2,764
- 2,559
..pale chini nlipokuwa akanifata akaniuliza kama naumwa nkamjibu hapana ni huu upepo tu wa ziwani na meli inavoyumba,tukatambulishana pale basi akanichukua tukapanda juu kwenye rum hiyo wanayokaa wao tukakaa kidogo nkahisi usingizi af nimechoka hapo ni saa saba usiku,akachukua godoro akaliweka chini....ohhh yayaaayaaa ngoja nkajojoe boss ntakumalizia
Hii series mie naifatilizia kwani tupo episode ya ngapi...