chuma cha reli
JF-Expert Member
- Jul 2, 2012
- 2,764
- 2,559
..pale chini nlipokuwa akanifata akaniuliza kama naumwa nkamjibu hapana ni huu upepo tu wa ziwani na meli inavoyumba,tukatambulishana pale basi akanichukua tukapanda juu kwenye rum hiyo wanayokaa wao tukakaa kidogo nkahisi usingizi af nimechoka hapo ni saa saba usiku,akachukua godoro akaliweka chini....ohhh yayaaayaaa ngoja nkajojoe boss ntakumalizia
Hii series mie naifatilizia kwani tupo episode ya ngapi...
siku narudi sasa ayaaayaaa nlikuwa naumwa nkapata hifadhi pa kulala rum 1 hivi ya makapteni, alienipa ni kapten 1 hv muda huo alikuwa mafunzoni na alinifata baada ya kuona nmekaa mwenyewe natapika unajua kilichotokea?nakutumia pm...
kilichoendelea kipo pm ha ha haKilichotokea isije ikawa 'wacha movie iendelee'...:bange:
Kuna siku nilikuwa mitaa ya sinza. Nikamuona mdada 25-28yrs anafuta machozi. Its like ana tatizo or smthn. Roho ikaniuma nikamfuata nikamfuta machozi then nikampa pole. Nikamwambia whatever it is will be ok usijali. Nikarudi nilipokuwa nmekaa. After like 10mns hivi akainuka akaja kukaa nilipokuwa. Akaniomba naweza kukaa hapa. Nikamwambia bila shaka usijali. Akanieleza kuwa bf wake amemfumania na demu mwingine. Nikampa pole. Tukapiga story story kidogo then nikamwambia unapendelea nn (katika kupoteza mawazo ya the so called bf) akasema movie. Ilikuwa saa 12 tukachukua bajaj hadi mlimani tukaingia movie. Cha kushangaza akalipa kiingilio. Tukacheki movie ilivyoisha. Akaniuliza napenda nn ili nami nifurahi n iwe kama asante kwa kumpa company wakati ule mgumu. Nikamwambia twende migombani nipate angalau ndovu 2 baridi sana. Tukatembea mpaka brajec. Njiani akawa ananishika mkono. Akasema the way alivyoumia hakutegemea kama atakutana na kijana mstaarabu mwenye huruma n upendo kama mimi. Dah mtu mzima akili ikaruka fasta nikajisemea kaumia lazima nilie shida hapa who knows naweza pata hifadhi kidogo. Tukafika brajec nikaagiza ndovu yeye akaagiza zanzi. Tukapiga round 3. Nikamwambia tumalizie siku. Akasema ngoja afikirie nimpe dk kadhaa. Huku tunatoka njiani akakubali bt akasema kinga muhimu. I was like fine usijali. Tukatafuta ka hotel kazuri maeneo ya mwenge akalipa. Nikanunua vinywaji tukazama room. Shughuli ilikuwa ndefu n tamu sana. Kushtuka saa 11 tukalala kidogo saa 3 tukasepa zetu.
Sijamuona tena hadi wa leo.
Mmmhhh mtalala hadi na majini mkuu!
Hebu tupieni hapa one night stand yako ambayo ilikiwa perfect ever na hutaisahau kamwe.
Yangu ni siku moja nilienda kwenye semina moshi. Ilikiwa ya wiki moja. Monday to friday. Sasa siku ya ijumaa jioni nimetoka semina naenda kuchukua funguo counter nika mkuta mdada mmoja na anaulizia vyumba.
Then akamuuliza yule counter kama kuna sehemu angepata chakula kizuri hapo jirani.
Nikadakia mazungumzo na kumweleza kuna sehemu nzuri ambayo mimi nimekuwa nikila.
Na kwamba kama hatojali basi tuongozane baada ya kama dakika 30.
Akasema poa ngoja aweke mizigo halafu aoge twende. Tuliishia kulala pamoja na tulipata fursa nzuri sana ya kupunguza genye zenu.
It was perfect.
I humbly submit.
Mmmhh....nitupie picha?
Mambo babe, umeadimika kama matako ya nyoka.......!? Miss you very much.
Mmmmhhh mimi????au wewe???
ya nini????Ulitumia con.Dom....?
Mi mwenzio huwa naipenda sana, wanasema ni moja kati ya sifa za mwanume.Ntaachaje sasa!!!!! ndo mizinga nahamishia kwako ......
Hizi one night stand zitawaua vijana
Nilikamata mmoja nikapiga kwenye gari. Sasa hii ni one night stand auuuuu