mwanza_kwetu
JF-Expert Member
- Mar 2, 2011
- 693
- 182
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
nafikiri tutaweza kuidownload
s sasa thanks ngoja nipande mlimani nipate kuisoma. Bubu umepotea sana mkuu karibu tena
PJ, CCM wakijifanya wanavua magamba kikweli kweli ndio watakuwa wamejikaanga kwa mafuta yao wenyewe! Magamba yaliyovuliwa yataamua kumwaga mboga na hapo ngoma itakuwa imeanza upyaaa! Alternatively, CCM wataamua kukomaa na magamba yao ambapo kitaendelea kuporomoka kwa kasi hadi ICU! Kwa vyovyote vile, CCM ina hali mbaya sana!Siku zote naingana na Dr. Slaa na Chadema kwenye single hii ya "Vita dhidi ya Ufisadi" ila kwa sasa lazima Chadema wajikite kwenye kutafuta single hit nyingine itakayo hit top of the charts za siasa mpaka 2015 na kuisambaza single hiyo mpya mpaka ground zero kwenye level ya common man. Nahofia CCM kung'amua single hit ya "Vita Dhidi ya Ufisadi" ambayo Chadema wanaitumia kama mtaji wake kwa kuwekeza mtaji mkubwa kwenye single hit moja, hivyo kuamua kujivua gamba kiukweli kwa kuwatosa mafisadi na kuwafikisha mahakamani kabla ya 2015!. Politics jamami its a dirty game, kama ni kweli ni ufisadi ndio uliopelekea CCM kupata kipigo ilichokipata 2010, then kuna uwezekano CCM ikawa tayari kufanya lolote legal/illegal kuhakikisha kipigo kile hakijirudii.
sheria z wazi kwa akwepae kodi,tra huwa hawatangaz kuwa mkwepaj amelipa kod ila kama tongotongo zinakubana nenda tra utapata ulohitaj,zaid ya ubeya huna hoja.zungumzia matatizo utawala tz yanayoleta umaskin sababu utendaj u dun serikalin hilo nalo hulion mchumia tumbo!Dr Slaa ile habari kwamba unakwepa kodi TRA ulishaijibu ??? what did you say/admit?
Kama posho zinakatwa kodi TRA waanzie kwa Wabunge pale Dodoma!Dr Slaa ile habari kwamba unakwepa kodi TRA ulishaijibu ??? what did you say/admit?
Siku zote naingana na Dr. Slaa na Chadema kwenye single hii ya "Vita dhidi ya Ufisadi" ila kwa sasa lazima Chadema wajikite kwenye kutafuta single hit nyingine itakayo hit top of the charts za siasa mpaka 2015 na kuisambaza single hiyo mpya mpaka ground zero kwenye level ya common man.
Nahofia CCM kung'amua single hit ya "Vita Dhidi ya Ufisadi" ambayo Chadema wanaitumia kama mtaji wake kwa kuwekeza mtaji mkubwa kwenye single hit moja, hivyo kuamua kujivua gamba kiukweli kwa kuwatosa mafisadi na kuwafikisha mahakamani kabla ya 2015!.
Politics jamami its a dirty game, kama ni kweli ni ufisadi ndio uliopelekea CCM kupata kipigo ilichokipata 2010, then kuna uwezekano CCM ikawa tayari kufanya lolote legal/illegal kuhakikisha kipigo kile hakijirudii.