Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
hivi hii jamii forums haina moderators, edward lowassa ametajwa kwenye report ya africa power and politics iliyokabidhiwa kwa wahisani kuwa ni kinara wa rushwa....riport hiyo ipo kwenye mtandao...kwa nini nyie jamii forums mnaruhusu propaganda za lowassa zipenye humu ndani? Mimi ninavyofahamu presidential aspirant ni lazima awe mtu safi sasa kwa nini nyie jamii forums mnakuwa hivyo?
Kwani umeambiwa JF moderators ndio wanaochuja wagombea au wamekuwa Msajili wa vyama wewe vipi tunaomba basi jina la mgombea wako aliye msafi tumjadili.hivi hii jamii forums haina moderators, edward lowassa ametajwa kwenye report ya africa power and politics iliyokabidhiwa kwa wahisani kuwa ni kinara wa rushwa....riport hiyo ipo kwenye mtandao...kwa nini nyie jamii forums mnaruhusu propaganda za lowassa zipenye humu ndani? Mimi ninavyofahamu presidential aspirant ni lazima awe mtu safi sasa kwa nini nyie jamii forums mnakuwa hivyo?
uliambiwa wapi kuwa jf ndiyo inayoruhusu nani awe rais...? acha upopo wewe au na wewe unataka uonekane umeanzisha thread?
If you hate Lowasa you can only influence others to follow your stance by producing evidence to justify your position, i will not condemn him based on allegations, yes we have heard a lot about him, and i guess may be now is the right time we demand revealation of evidence based words about him. We can not defeat him by blah blah it is only through concrete evidence, other wise you are asking us to join hands in denying Lowasa the natural course of justice.
Ukweli ni kwamba, 100% ya Tenda za Serikali yetu lazima kuna ufisadi.
Lowasa ni Mchapa kazi wa Ukweli, Issue ya Richmond ilikuja ili kutatua tatizo la umeme kwa haraka Nampongeza Lowasa Kwa hilo.
Hii issue ya 10% iko kila mahali!!! its just because they do it in a way that its Difficult to Trace, Lakini kwasababu Lowasa alitaka mambo yaende haraka, akakosea Step.
Ukweli ni kwamba Lowasa is just more clean than most of some other Govt officials who are still in the system.
Subiri Membe akugawie..una haraka gani?? Si umesema amepasua jipu..sasa kwa akili yako dadangu FF hilo nalo jipu au kajipuuchungu..