The Port of Mombasa: Expansion & Modernization

The Port of Mombasa: Expansion & Modernization

Lagos? Duh! Pamoja na udhaifu yao katika masuala ya kumanage miundo mbinu yao, kama ports,, the port of Lagos ina changamoto zingine kama kuwepo kwa ports zingine nyingi tu West Africa,, ambazo zimeinyanganya lagos wateja.

Pia the hinterland countries Lagos is meant to serve are poor, conflict ridden and thinly populated, not to mention the age old conflicts in the north thru which the cargo fr m Lagos port mst pass to access those landlocked countries in the north od Nigeria, which are served sufficiently by the other ports such as Accra or Abidjan anyway.

Usishangae hata Dar port cld be busier than Lagos!
Sidhan kama ni kweli,iwe ya pili bara zima la Afrika. Yaani Lagos imezidiwa na Mombasa?!
 
18278877_737418116430915_2140737529153282274_o.jpg
 
Haya ndo maendeleo tunayoyatamani sote. Sio zile stori za kuvuruga nchi na mikakati ya ajabu ajabu sijui eti 'kukalia kiti'.
 
out of context, hivi wale watu michezo yao ile wamepunguza siku hizi !
 
Mbona kwenye yard hakuna mankontena
Kwasababu hilo bandari lilianza kufanya kazi juzi juzi tu.

Besides, hilo bandari ndo liko karibu na SGR, Mizigo ikifika moja kwa moja inapakiwa kwa SGR hadi Nairobi dry port, ikifika huko ndo inaanza kukaguliwa, hii inaongezea nafasi bandari la mombasa na kulifanya liwe more efficient kwasababu hakuna congestion tena pale bandarini

Nairobi ICD

No title(307).jpg
httpke_china-embassy_orgengzfgxW020180106116334163805.jpg
No title(313).jpg
No title(314).jpg
 
Back
Top Bottom