The post Magufuli at work appeared first on Gado .

Matiang'i praised for Magufuli-style reforms in Education ministry
"You have been nicknamed the Magufuli of Kenya [after Tanzania President John Magufuli]," Kitutu Masaba MP Timothy Bosire told him.
"We want you to ensure people who have commercialised national exams at the expense of our children are punished for us to reconfirm that indeed you are our Kenyan Magufuli."

Sisemi kila kitu magufuli anachofanya ni kibaya. Nasema hio package ya magufuli hatuezi tamani huku kenya... besides, hata hivo vitu vizuri anavyofanya, ni vizuri lakini ukiangalia vizuri unaona ye ni jeshi la mtu mmoja, kwahivyo akiondoka yeye basi watu wanarudi pale pale, mwanzo hio kazi anayofanya ya kutembelea mahala ghafla hafai kuifanya yeye kama rais. anafaa kuachia wanachini wake..... huyo matiangi, alichofanya kwa bodi ya mtihani sasa hio ndo kazi inayo mfaa, maamuzi kama hayo hayafai kumfikia rais.... lakini hio kazi ya kutembelea mashule ghafla si kazi yake pia yeye, anafaa kuachia mwanachini wake, bodi ya kusimamia walimu TSC ndo inafaa kufanya kazi hio kenya nzima, maana hao ndo wamepewa kazi ya kuandika na kufuta kazi walimu, kwahivyo hao ndo wako na jukumu la kuhakikisha walimu wanafanya kazi yao..this is how you build sustainable institutions... inafaa ikue hivyo ili hata ile siku rais hayuko ama ile siku rais atamaliza muhula wake, bado serikali itaendelea kufanya kazi bila uzembe wala lolote,
 
Ungemjua Magufuli tangu akiwa Waziri ungeelewa kuwa aina yake ya uongozi ni kufuatilia mambo. Ni mfuatiliaji wa kila kitu ndio maana hawezi kudanganywa na watu wa chini yake.Hakuna ubaya wowote wa yeye kukagua kazi za serikali yake. Hizo ziara zake za kushitukiza nyingi zilifanyika wakati hakuna mawaziri, sasa hivi majukumu mengi wameachiwa mawaziri.
Afrika tunahitaji viongozi wazuri, hata kukiwa na mfumo mzuri na katiba nzuri vipi tukipata viongozi wabovu hatuwezi kusonga mbele.

Back
Top Bottom