hebu usiniletee uchuro, nikupeleke wapi na sura kama panga la shaba??
Ushajizeekea hata kwa P.O.P husimami lol
gfsonwin, yaani mie siwezi toa ushauri wa kupenda kabisa, nina akili ya kutengeneza hata parachuti au space shuttle.
Lakini mapenzini nina sifuri, sometimes akili inaona kabisa hapa unadanganywa ila moyo unasema tofauti.
Mara nyingi mahusiano ya aina hii lazima uumizwe tu.
yaani sasa hapo umeonyesha wazi kuwa wewe wapenda kwa moyo na mara zote moyo ni mwongo but akili huwa inasema kweli. kama imeona unadanganywa why do you have to go for it?
Elli we fight uwe na pesa ndefu,hakuna mwanamke atakuacha, take it from me,kama ni kuwaacha utawaacha wewe.
mimi nilishaweza kuachia sehemu ambayo ilikuwa ngumu mno{ndoa}na kukubalika kijamii ilikuwa ni ngumu sana tena sana,nililia weee mpaka mwisho nikasema hapana be strong,you can do it.ila kiukweli,i did the right thing.maana miaka ingeenda tu,na ndani kulikuwa hakuna mapenzi tena.na leo huyo huyo mtu,ni rafiki yangu na tunaelewana kwenye shida na raha.ila siombei yamkute mwenzangu yoyote yule
Kuna binti mmoja alikuwa hovyo sana kwangu, kama kuna kizuri kutoka kwake labda 1% out of 100%. Lakini nikapunguza hasira na kuiangalia hiyo 1%, nikaithamini hiyo na kumnunulia zawadi pamoja na card imeandikwa "Thank you so much".
Nilimwita (alijua kabisa kitakachotokea kwa sababu nilimwarifu) nikamnunulia lunch na baada ya kula nikamkabidhi zawadi. Yamekwisha
yaani sasa hapo umeonyesha wazi kuwa wewe wapenda kwa moyo na mara zote moyo ni mwongo but akili huwa inasema kweli. kama imeona unadanganywa why do you have to go for it?
Ni kweli kabisa Purple simaanishi kuachana kwa vicheko ila pale unapoabiwa/ona kuwa its over basi uumie kiutuuzima kwa maana kuwa unaumia na kukubali kuwa this is is lakini si kuumia na kuanza drama za kutaka uendelee kumuhodhi ilhali ye mwenyewe hataki kuhodhiwa.
MwanajamiiOne bdo nipo kwenye maombolezo ya kuachwa. . . ntachangia nikimalza maombolezo. asante!
Maombolezo ya kuachwa ni miezi mingapi?
hayana muda maalumu!
Ruta unataka kusema kuwa mahusiano yote yanayovunjikaga (ukiacha yale yanayovunjwa na external forces kama wazazi n.k) huvunjika kwa kuwa mmoja wao huwa hajapenda kweli??
King'asti[/FONT said:;4158177]MwanajamiiOne, unaujua wimbo wa the gambler? Ngoja nikamuamshe BAK aje aweke vituz. Haya kidogo nachombeza:
U got to know when to hold on,
when to walk away
and when to run.
Sasa wewe unamkimbia simba afu unajutia kumshinda mbio? Akhuuu,hata chura akipigwa teke anaumia lakini anakuwa kapunguziwa safari pia.
....Nadhani sijakosea 🙂
Hah King'asti na Bishanga jamani mie kwa sasa naelea kwenye mapenzi. Ninauliza tu maana reflections ni muhimu ati. A very dear friend of mine aliwahinitumia ujumbe huu ...........
Be Smart enough to hold on, be Brave enough to let go Coz leting Go is Letting Life Happen..............It has been a lesson since then.
King,unakumbuka thread ya AshaDii ya ku brag?Kwenye miti hakunaga wajenzi dearest. So mie najipimia baraka zangu, hata kuachwa ni baraka. Sasa mbona mie ndo napeenda tena kwa uaminifu ila ndo natendwa! Nna mpango wa kustaafu uaminifu recently, u can be my guinea pig!
Ila mie naona the worst thing ni kufiwa na mpenzi, kama ananiacha tu it is his loss aisee! I believe I'm a good woman and a good lover too. I can brag about that, hehehe!