Carrie, inaonekana imekuuma sana.
Sasa kama unaona ni ishu, ngoja nikupe idea.
Kwenye keyboard yako kuna vi-button viwili. Moja imeandikwa 'fn' (meaning function), na nyingine ni 'prt sc'. Hii ya 'prt sc' iko kwenye vi-button pale juu.
Sasa basi. Wewe kama unaona unazibiwa, basi, andika comment yako unayotaka kuandika,kabla hujatuma/submit, chukua screen grab (yaani bonyeza 'fn' halafu 'prt sc'), Hii ita-grab kinachoonyesha ulichoandika, na muda kwa chini. Ipeleke kwenye 'Paint' programme, paste, crop it, save kama .jpg. Ukisha fanya hivyo, submit. Lazima utapata message kwamba inasubiri moderator aikubali. Take a screen grab of that too.....kwani itaonyesha muda (ambao utakaribiana na screen grab iliyopita).
Unaweza kuwaambia rafiki zako wafanye hivyo hivyo. Hapo mta-build case ya ku-accuse mnazibiwa. Zibandike hizo screen grab hapa tuone.
Kama ni kazi kubwa, basi, endelea kwingine.