The problem with MUHIDINI ISSA MICHUZI

The problem with MUHIDINI ISSA MICHUZI

Status
Not open for further replies.
sawa inshaallah itakuja njema kama ilivyo kwa klhnews haya ndio mapinduzi daima

mapinduzi ya teknolojia changamoto ilio mbele ni kubwa na tunahitaji tuitangaze sana nchi yetu kuna

mengi ambayo yanahitaji kutangazwa
 
Sioni Sababu watu walumbane. Ni haki ya kila mtu kujua. Kama wewe hutaki mwenzako ajue kwa nini ujibu mambo yasiyofaa. Tuache ubinafsi. Uvivu unatokea wapi hapa? Issa waridhishe wadau wako. Wanakujali ndiyomaana wanakuulizia.
 
si afadhali tumekuwa WAVIVU, unaona sasa tumeshapata habari ya kinachoendelea. Kuna watu hatuna muda wa kuzunguka kila blog au website kupata habari tunazoona ni muhimu kwetu. Kwa hiyo kama kuna mwana JF hat a mmoja tu mwenye habari hakuna ubaya wowote wa mtu kuulizia chochote hapa ndio namna ya kupeana habari, kufundishana, kukosoana, kuchekeshana ......etc. etc.

Waungwana kuuliza si ujinga!! kamwe msisahau hilo. Na kutaka kusagia hata pale ambapo hapahusu chochote kusagia
 
Nikiunganishia hapo hapo naomba anayejua pia blog ya Maggid Mjengwa ya sasa aniwekee maana ile niliyozea siipati.
 
Nimeingia kwenye Website ya Issa Michuzi lakini naona picha ya mwisho ni ya kutokea Aug 22, ya harusi ya Rithiwani. Au kuna mwingine imezidi hiyo tarehe.
 
....Lusajo, Umecheck "issamichuzi.blogspot.com".... ?
.... Nafikiri alikuwa/yupo Khartoum, Sudan akiambatana kwenye ziara ya Rais Kikwete.
 
Same to me, kulikoni Michuzi?
 
....Lusajo, Umecheck "issamichuzi.blogspot.com".... ?
.... Nafikiri alikuwa/yupo Khartoum, Sudan akiambatana kwenye ziara ya Rais Kikwete.

Asante Kaka, nimeangalia .blogspot nimeona updates. lakini hajaandika kwamba karudi huko, kwa sababu kuna wakati ilikuwa haifunguki.
 
Nimeingia kwenye Website ya Issa Michuzi lakini naona picha ya mwisho ni ya kutokea Aug 22, ya harusi ya Rithiwani. Au kuna mwingine imezidi hiyo tarehe.
Lusaju kumbuka huu mfungo wa Ramadhani muda mwingi anakuwa kwenye ibada
 
Jana nimemuona.Yeye na Lady J-Dee wamepewa ubalozi fake na Zain(Zaina au Zainabu).Hawa jamaa wametuchoka kweli, mitandao sasa wanaipa majina ya ma-girlfriend wao.
 
fafanua please....
 
Jana nimemuona.Yeye na Lady J-Dee wamepewa ubalozi fake na Zain(Zaina au Zainabu).Hawa jamaa wametuchoka kweli, mitandao sasa wanaipa majina ya ma-girlfriend wao.

Mkuu tikerra, unamaanisha nini unaposema ubalozi fake?
 
Samahani washirika wa JF kwa kuleta habari isiyo ya kisiasa hapa. Ninaomaba kufahamu what happened to michuzi blog. Kwa muda nimekuwa nikitembelea lakini haina update zozote tangu tarehe 22 August. Kwa sisi tulio mnali sometimes tunapitia hapo kupata picha halisi ya mambo yanayokwenda bongo. Je kulikoni Michuzi MICHUZI ?????????
 
Mkuu jaribu kuingia MICHUZI
 
Mwawado kwa blog ya Issa Michuzi nenda: issamichuzi.blogspot.com updates utaziona.
 
Jana nimemuona.Yeye na Lady J-Dee wamepewa ubalozi fake na Zain(Zaina au Zainabu).Hawa jamaa wametuchoka kweli, mitandao sasa wanaipa majina ya ma-girlfriend wao.

Tikera

Thanks for that useless piece of information, Zain ni neno la kiarabu maana yake ni vizuri. Zain Group zamani ilijulikana kama MTC, Mobile Telecommunications Company) is Multinational Corporation specializing in Mobile Telecommunications operating in 22 countries Tanzania being amoung those. Hawa jamaa ndo walonunua Celtel na kuibadili jina, mzee usikirie ni jina la girl friend wako!! wako kwenye biashara hawa wewe wazia zipu tu...
 
hata mie nashangaa. ila naona karudi kule kule kwa zamani issamichuzi.blogspot.com ila kuhusu ubalozi wewe unayeuita feki utakalaga baho. mwenzio anavuta si chili ya mil. 5 kwa mwezi kwa huo ubalozi feki. upo hapo?
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom