Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Anuani imebadilika na sasa ni www.michuzi-blog.com
asante mzee wa Kisauni, Mombasa
si afadhali tumekuwa WAVIVU, unaona sasa tumeshapata habari ya kinachoendelea. Kuna watu hatuna muda wa kuzunguka kila blog au website kupata habari tunazoona ni muhimu kwetu. Kwa hiyo kama kuna mwana JF hat a mmoja tu mwenye habari hakuna ubaya wowote wa mtu kuulizia chochote hapa ndio namna ya kupeana habari, kufundishana, kukosoana, kuchekeshana ......etc. etc.
Nimeingia kwenye Website ya Issa Michuzi lakini naona picha ya mwisho ni ya kutokea Aug 22, ya harusi ya Rithiwani. Au kuna mwingine imezidi hiyo tarehe.
Nimeingia kwenye Website ya Issa Michuzi lakini naona picha ya mwisho ni ya kutokea Aug 22, ya harusi ya Rithiwani. Au kuna mwingine imezidi hiyo tarehe.
....Lusajo, Umecheck "issamichuzi.blogspot.com".... ?
.... Nafikiri alikuwa/yupo Khartoum, Sudan akiambatana kwenye ziara ya Rais Kikwete.
Lusaju kumbuka huu mfungo wa Ramadhani muda mwingi anakuwa kwenye ibadaNimeingia kwenye Website ya Issa Michuzi lakini naona picha ya mwisho ni ya kutokea Aug 22, ya harusi ya Rithiwani. Au kuna mwingine imezidi hiyo tarehe.
fafanua please....Jana nimemuona.Yeye na Lady J-Dee wamepewa ubalozi fake na Zain(Zaina au Zainabu).Hawa jamaa wametuchoka kweli, mitandao sasa wanaipa majina ya ma-girlfriend wao.
Jana nimemuona.Yeye na Lady J-Dee wamepewa ubalozi fake na Zain(Zaina au Zainabu).Hawa jamaa wametuchoka kweli, mitandao sasa wanaipa majina ya ma-girlfriend wao.
Samahani washirika wa JF kwa kuleta habari isiyo ya kisiasa hapa. Ninaomaba kufahamu what happened to michuzi blog. Kwa muda nimekuwa nikitembelea lakini haina update zozote tangu tarehe 22 August. Kwa sisi tulio mnali sometimes tunapitia hapo kupata picha halisi ya mambo yanayokwenda bongo. Je kulikoni Michuzi MICHUZI ?????????
Jana nimemuona.Yeye na Lady J-Dee wamepewa ubalozi fake na Zain(Zaina au Zainabu).Hawa jamaa wametuchoka kweli, mitandao sasa wanaipa majina ya ma-girlfriend wao.