Kichwa Kichafu
JF-Expert Member
- Apr 13, 2017
- 44,855
- 189,385
Almost tamthilia za kifilipino wana hiyo kasumba.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Daah mkuu fanya unipe jina hilo. Ni kitambo sana.Kuna channel moja inarudiwa mkuu,nikiikumbuka ntakupa jina
Duh hzi bdo sijazifatilia kabisaSijawahi kuvutiwa na series nyingine tofauti na zile zilizoigizwa au kuongozwa na waongozaji/waigizaji kutoka USA na UK
Zina uhalisia wa hali ya juu. Mfano mzuri ni Game of ThronesDuh hzi bdo sijazifatilia kabisa
Hiyo channel inaitwa "romanza" the promise inarushwa muda si mrefu ,hua ipo kila siku nadhani,ipo azamDaah mkuu fanya unipe jina hilo. Ni kitambo sana.
Nitai google niwe naangalia online. Sina Azam tv aseeHiyo channel inaitwa "romanza" the promise inarushwa muda si mrefu ,hua ipo kila siku nadhani,ipo azam
Yule yna sijawahi muona kwenye tamthilia ingine, kazuri kaleNakumbuka tu The Promise ya TBC mwaka 2008 hii ndio niliifuatiliaga mpaka mwisho. Huku unamkuta BOKBOK huku yupo bidada POKNAT eti wakaachiana ndala moja moja. Toka hapo sijawahi kuangalia tamthilia tena.
Aise pls unistue ukikumbuka hata kwa pm, tamthilia tamu sana ileKuna channel moja inarudiwa mkuu,nikiikumbuka ntakupa jina
Wale uzuri wanazaliwa nao bhana. Ni by nature. Sema tu wamepigwa pasiYule yna sijawahi muona kwenye tamthilia ingine, kazuri kale
Kwa uzuri wa sura wapo vizuriWale uzuri wanazaliwa nao bhana. Ni by nature. Sema tu wamepigwa pasi