Nyani Ngabu
Platinum Member
- May 15, 2006
- 94,296
- 122,540
Ohhhh jamani!
Rip!
Japo ndio namsikia leo. Sio mbaya.
Wape pole wanaMarekani wote
Ni safari yetu sote Mungu amlaze pema huyu bimkubwa.
Nilikuwa simjui nimeingia gugo duh alipata mtoto akiwa aged 12 wa pili aged 14,siyo mchezo.