The Queen of Soul is no more

The Queen of Soul is no more

Jamani mbibi wa watu alichoka kwelikweli to compare na hiyo miaka! Kuumwa huku

Rip Aretha...
 
Duh hata simjui jaman,weken hata ka picha.
 
Aretha-Franklin.jpg

May she Rest In Eternal Peace! 😧
 
.....I say a little prayer for you, forever and never you stay in my heart and i will love you forever and ever........
 
Daaah, ametamba sana miaka ya 80. Freeway of love. R.I.P
Ametamba kuanzia miaka ya 70. Huyu ni mwanamuziki mwenye digrii za heshima kutoka Vyuo vikuu vinavyoheshimika kama Havard,Princeton,Yale nk. Kiufupi huwezi zungumzia muziki wa Soul and R&B kwa Marekani bila kutaja jina lake. Ana zawadi nyingi sana alizowahi kupata ktk maisha yake ya Muziki. Ameshaitwa Ikulu ya Marekani na Maraisi tofauti kutumbuiza ama kwenda kupokea zawadi!! Alitumbuiza siku Raisi Obama anaapishwa kuingia ofisini. nk
Ame inspire wanamuziki wengi sana wenye majina makubwa wanaofahamika na wengine hawafahamiki. Mfano tu Mama yake Whitney Houston ambaye pia alipata mafanikio kwenye muziki (ana zawadi mbili za Grammy) ni mmoja wa waimbaji wake aliowatumia kuimba kwa kumpokea (Back Vocals) na wengine wengi tu.
 
Katamba tokea miaka ya 60!
 
Hivi si aliwahi kugeukia kwenye gospel? Kuna nyimbo yake flani nilikuwa nikiisikiliza nafeel kama alikuwa alikuwa "Mkata shauri"
 
Ametokea kwenye familia ya kichungaji. Baba yake mzazi alikuwa Mchungaji. Na Mama yake alikuwa mpgiga Kinanda pia.
 
wamarekani bana msiba wa legend majuto hatukuwaona. wao kwa watu classic tu

Haya rip areta japo nimeenda youtube ndio nimemjua
hoja fikirishi sana hii mkuu,sisi tushakuwa watumwa,watakuja kukubeza kwa ukweli huu mchungu,wabongo fake sana...
 
Back
Top Bottom