Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Lazima uwe old school ndio utamjua
Mh! Hii siyo kejeli kweli?R.I.P kokooo
Ametamba kuanzia miaka ya 70. Huyu ni mwanamuziki mwenye digrii za heshima kutoka Vyuo vikuu vinavyoheshimika kama Havard,Princeton,Yale nk. Kiufupi huwezi zungumzia muziki wa Soul and R&B kwa Marekani bila kutaja jina lake. Ana zawadi nyingi sana alizowahi kupata ktk maisha yake ya Muziki. Ameshaitwa Ikulu ya Marekani na Maraisi tofauti kutumbuiza ama kwenda kupokea zawadi!! Alitumbuiza siku Raisi Obama anaapishwa kuingia ofisini. nkDaaah, ametamba sana miaka ya 80. Freeway of love. R.I.P
Ametamba kuanzia miaka ya 70. Huyu ni mwanamuziki mwenye digrii za heshima kutoka Vyuo vikuu vinavyoheshimika kama Havard,Princeton,Yale nk. Kiufupi huwezi zungumzia muziki wa Soul and R&B kwa Marekani bila kutaja jina lake. Ana zawadi nyingi sana alizowahi kupata ktk maisha yake ya Muziki. Ameshaitwa Ikulu ya Marekani na Maraisi tofauti kutumbuiza ama kwenda kupokea zawadi!! Alitumbuiza siku Raisi Obama anaapishwa kuingia ofisini. nk
Ame inspire wanamuziki wengi sana wenye majina makubwa wanaofahamika na wengine hawafahamiki. Mfano tu Mama yake Whitney Houston ambaye pia alipata mafanikio kwenye muziki (ana zawadi mbili za Grammy) ni mmoja wa waimbaji wake aliowatumia kuimba kwa kumpokea (Back Vocals) na wengine wengi tu.
Ni kweli ameendelea ku perform hata miaka ya 2010's.Aretha ni transcendental figure!
Ni ujinga tu wa hawa millennials.
Ok late 60!Katamba tokea miaka ya 60!
Ametokea kwenye familia ya kichungaji. Baba yake mzazi alikuwa Mchungaji. Na Mama yake alikuwa mpgiga Kinanda pia.Hivi si aliwahi kugeukia kwenye gospel? Kuna nyimbo yake flani nilikuwa nikiisikiliza nafeel kama alikuwa alikuwa "Mkata shauri"
Kweli kabisa kwa umri wake huyu kokooR.I.P kokooo
hoja fikirishi sana hii mkuu,sisi tushakuwa watumwa,watakuja kukubeza kwa ukweli huu mchungu,wabongo fake sana...wamarekani bana msiba wa legend majuto hatukuwaona. wao kwa watu classic tu
Haya rip areta japo nimeenda youtube ndio nimemjua