vampire123
JF-Expert Member
- Apr 17, 2016
- 1,310
- 865
Habari wakuu,
Hili swali mpaka leo sijajibiwa mpaka nimewauliza baadhi ya viongozi wa dini,naishiwa kuambiwa ninakufulu. Lets say God anajua kila kitu past, present and future inamaanisha God alijua malaika a.k.a shetani ataasi mbinguni, adam na hawa au eve watakula tunda la kujua mema na maovu, alijua USA atapiga bomu la nyulia pale japan hiroshima, alijua vita ya majimaji itatokea, yupi ataingia motoni na yupi ataingia peponi kabla hata hajaumba hao malaika, jua na giza and everything. Ni kama vile movie ambayo tayari umeshaiangalia then unaangalia tena maana hamna kitakachobadilika ataufanye nn.
Pia usisahau kuwa una asilimia 100% za kuingia motoni au peponi, lets say God exist, ww ni muislam means hujamkubali kristo as your savior plus hujabatizwa ww ni wa kutupwa katika ziwa la moto regardless umefanya mazuri kiasi gani and ww ni mkristo hujamkubali mtume muhammad (s.a.w) na Mungu wa waislam then ww ni wa motoni regardless umefanya mazuri kiasi gani...watu hujitetea kwa kusema kuwa utakuwa judged based on matendo yako wanasahau matendo yanahusisha ibada kwa asilimia 80% as kwa wakristo kuna kusali, kufunga nk na kwa waislam vile vile kuna kuswali,kufunga ramadhani n.k.
REMEMBER: Kuna mamilioni ya dini na mamilioni ya Miungu (Jehovah,Allah (s.w),Budha,Shiva,Vishnu n.k but dini yako na Mungu wako ndo wa kweli wengine wa uongo.