Shimba ya Buyenze
JF-Expert Member
- Dec 22, 2014
- 182,097
- 1,099,383
Out of topic. Bado u msemaji (mkuu) wa CHADEMA?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Makene Hongera Sana. Wewe ni Moja ya vijana wenye upeo mkubwa na uwezo wa kupambana mambo. Toka ukiwa Chuo Kikuu (UDSM) Shule ya Uandishi na Mawasiliano nimekuwa mmoja ya wanaokuelewa. Kila la heri katika Uandishi wa kitabu.
Mkuu Tumaini Makene , kwanza hongera sana kusoma vitabu hivyo na karibu tena jukwaani maana uliadumika.
Kwa sababu wewe ni mtu mkubwa kule ulikokuwa na humu ni alwatan na mtu maarufu, unapobadili makazi, unatujulisha rasmi na sio tusikie kwa kusikia sikia, jee ni kweli umehama mtaa ule na sasa umehamia mtaani kwetu?.
Tunaisubiri kwa hamu "Die or Survive, Make or Break, Crash or Win; A Year That Was"
Sisi wengine ni ma kiritiki kwa lengo la kuboresha. The Title is too long. Kwanza ondoa "a year that was", twende na "Die or Survive, Crash or Win"
My take ni hicho kitabu ni kizuri na kitauza sana kwasababu usiange amua ulicho amua, kule unge die but now you survive, kule hata ungepanda vipi, mwisho wa siku unge crash tuu, ila huku sasa uta win!. Kitafute kitabu kiitwacho "The Winning Coalitions" ukicheza na timu za washindi una wini.
Ukilipitia bandiko langu hili
Sasa utakubaliana na mimi I was right.Wanaohamia CCM wasibezwe! Wanaona mbali, 2020 Majimbo yote kurejeshwa. Je, tunarejea nchi ya chama kimoja?
Wanabodi. Hili ni bandiko la swali kuhusu Trend Reading. Wanaohamia CCM Wasibezwe, Wanaona Mbali, 2020 Majimbo Yote Kurejeshwa?, Jee Tunarejea Kuwa Nchi Chama Kimoja? Trend reading sio utabiri, bali ni matumizi ya analitical na logical thinking kwa kila jambo lililofanyika huangalii tuu hilo...www.jamiiforums.com
Welcome to home sweet home.
P
Mkuu Simba Ya Buyenze, Nami nalisubiria jibu hili...maana nilisikia sikia kahama mtaa ule, kahamia mtaani kwetu!.Out of topic. Bado u msemaji (mkuu) wa CHADEMA?
Kweli Kaka Tumaina kitabu chako kinaonekana kinatisham Die or leave kina ushari ndani yake