Waberoya
Platinum Member
- Aug 3, 2008
- 15,168
- 10,810
Kwa bahati tuna madalali humuhumu JF, waulize bei za viwanja, nyumba etc...
Members wengi hapa naamini mna magari, tufahamishane vipi bei ya mafuta (gasoline) ikoje?
Hivi mishahara ya wafanyakazi (serikali/binafsi) inaendana na maisha halisi ya Tanzania ya sasa? Wanaewezaje kuishi?
Vipi mkuu MTM upo Bongo mkuu? Unaweza walau kutumegea kwa uchache?
Mkuu kuna links kibao zinaonyesha cost za nyumba Tz, kuanzia renting, sale etc

One bedroom apartment For sale; Price US$80,000 Locations: Dar-Es-Salaam, Upanga | Bedrooms: 1 | Bathrooms: 1
Comments: One bedroom apartments are on offer for sale at ZAHRA ARCADE. Main features include:
• Earthquake resistant construction
• Swimming pool
For Sale by
Huo ni mfano tu, sijataka kuweka link ya hao jamaa! wananiudhi!
Bei za nyumba zinatisha, pamoja na 'mtikisiko wa uchumi' wapi!
You know what; wana hakika watapata wateja!!!!!