The real cost of corruption in TZ


Mkuu kuna links kibao zinaonyesha cost za nyumba Tz, kuanzia renting, sale etc





One bedroom apartment For sale; Price US$80,000 Locations: Dar-Es-Salaam, Upanga | Bedrooms: 1 | Bathrooms: 1
Comments: One bedroom apartments are on offer for sale at ZAHRA ARCADE. Main features include:

• Earthquake resistant construction
• Swimming pool
For Sale by
Huo ni mfano tu, sijataka kuweka link ya hao jamaa! wananiudhi!


Bei za nyumba zinatisha, pamoja na 'mtikisiko wa uchumi' wapi!

You know what; wana hakika watapata wateja!!!!!
 
I have come to a conclusion that the real cost of corruption in Tanzania is the unchecked increase in the cost of living. It is the corruption that has led to the unrealistic increase of prices of goods and services. Would you agree?

Najaribu kuangalia hoja katika kinyume chake kua, je tukimaliza rushwa kwa asilimia 100 tutapunguza gharama za maisha katika kiwango ambacho kila mtanzania atamudu?? Bado naona jibu ni hapana! Ingawa nakubaliana kuwa rushwa inaongeza gharama za maisha kwa kiwango kikubwa sana!

Kitu kingine kinachoongeza gharama za maisha ni kutokuwajibika kwa serikali katika kumlinda mtumiaji wafanyabiashara wanajipangia bei kiholela!

Mfano: Gharama za wireless internet Tanzania kwa sasa Zantel ni Tsh 6000 kwasiku = 180,000 kwa mwezi = 90 EUR

Nchi moja niliyowahi kutembelea Ulaya huduma kama hiyo inapatikana kwa 20 EUR kwa mwezi.

NB: Nimetumia makisio ya matumizi ya kawaida ya internet kwenye uplink and downlink volume packages.
 
Kwa nini bei za Dar ni sawa na za miji mikubwa duniani?

Jibu rahisi ni kwa sababu ya kuwa na Chama Cha Majambazi ambacho kinahalalisha bei ambazo hazipo. Utaliona hilo kwenye Tenda wanazotoa nani analipa ni serikali ambayo haiangalii uwezo wake wa kufanya kazi na kuwabebesha mzigo mkubwa walipa kodi.

Gavana anajenga nyumba ya billions wakati bei ya nyumba hiyo hiyo inajengwa private kwa robo ya gharama. Jakaya Kikwete anaamua tu kuweka lunch kwa Ivory Cost na Rwanda kwa sababu tu Press secretary wake anatoka Rwanda/Burundi, bill inayokwenda kwa walipa kodi mtajijua wenyewe. Jakaya Kikwete anaamua tu Richmonduli apate tenda na baadaye kwenda Dowans bill yake walipa kodi mtajijua kisa Rostam Azizi lazima aikamue hii nchi (Huyu ni Fisadi Papa).

Jakaya Kikwete anaamua kujenga Ikulu ndogo Bwagamoyo - Bill mtajijua wenyewe na walipa kodi wenu. Jakaya Kikwete anaamua kufukia wachimbaji wadogo wadogo wa madini kisa kumpa rafiki yake mkubwa kutoka Canada dhahabu ambayo ni urithi wa mababu zetu, huyu Sin Bin Clair yeye ndio sikio la Jakaya. Mkataba wa kughushi wa Buzwagi ni pamoja na kuwaridhisha makuwadi wake. Bill peleka kwa walipa kodi watajijua wenyewe.

Ruhusu kila moja mwenye uwezo kuacha kulipa kodi na kuchukua foreign exchange wakati wowote na kujiwekea Jersey, Channel Islands bila maswali yoyote kwani Tshillings haina maana , bill peleka kwa walipa kodi mtajijua wenyewe.

Uza TTCL, TRL nk bei watapanga wenyewe wakifilisika chukua pesa ya walipa kodi wape wajaribi jaribu tu kwani muda wangu karibu utakwisha walipakodi watajijua wenyewe. Haiingii akilini wakati Broadband ya kawaida Europe unapata kwa kiasi cha kama $20 Tanzania ni mujiza na kila miaka kadhaa hayo makampuni yanakwenda kwenye tax holiday.

Hiyo ndiyo serikali ya Chama Cha Majambazi hayana aibu hayo yanasubiri mwanya tu na mmekwisha. Mwanakijiji usiulize maswala ya corruption hii nchi wamesema ina wenyewe na wenyewe ndio kina Kikwete. Si umeona hata waasisi wa hii nchi wanpokufa hakuna kuomboleza wala nini ni kwenda mbele tu na mdundiko.
 
I can only say Duuuh; hii hatari sasa akina nani wana nunua

They buy! believe me or not! not ministers ...

!

Mfano: Gharama za wireless internet Tanzania kwa sasa Zantel ni Tsh 6000 kwasiku = 180,000 kwa mwezi = 90 EUR

Nchi moja niliyowahi kutembelea Ulaya huduma kama hiyo inapatikana kwa 20 EUR kwa mwezi.

.

It is painful, what these companies do , is to give free wireless services to our leaders, guess what...

Kwa nini bei za Dar ni sawa na za miji mikubwa duniani?

.

Kwa sababu we are dreaming that we are first world country,the 'copy and paste' technology and style of life have blinded some Tanzanian never forget leaders.

First world countries they toiled to reach that level=Some Tanzanian they steal to reach that level; hence same life expenses
 
tuna safari ndefu sana kuua umaskini wetu.

Wanananua cash hao ordinary people hau ndio mikopo ya benki. Kwa sababu najiuliza what is the average salary huko ya mtu tuseme mwenye mshara mzuri.

Na kwa bei ya one bedflat ailipi hata kwa mkopo wa benki kwenye nchi ambayo bado aija prove stability in reliable employment sector hivyo benki zetu inaoneka zimejaa mameneja ambao ni risk takers wa hali ya juu na wenye fikra za kitaaluma ya hali ya chini kumkopesha mtu hela hiyo. Kununua one bed flat.

Kwanza huo mkopo hata umaliza lini; particulary ukiangalia mtu anae nunua nyumba ya one bedflat leo kesho atakua na familia hata itaji kwenda juu kwenye property ladder.

What guarantee tunayo hiyo market itabaki hivyo au huyu mtu bado atakua employed in ten years time. Yaani so far ni faida kwa mwenye hilo jengo na i see future benk loses. Unless JK na washauri wake ambao watakua majiniasi kupita know something the rest of us are missing in future developments of the economy.

Hila kwa mtu anaedhani kuweka watu maofisi ya serikali kisha kudai anaongeza employment kumaliza mapato ya serikali kwenye unnecessary mishahara ambayo ingesaidia sehemu zingine sidhani kama wanajua walifanyalo kuachia unrealistic pricing ziendelee kwenye market huko ni kuua benk soon.

Au ndio mimi nasahau kuna un accountaed way of extra income makazini ambayo benki inajua inawafanya watu waweze lipa haraka hiyo mikopo.
 

Ni simple principle ya supply and demand ndio inayofanya bei kuongezeka. Demand imekuwa kubwa kwa sababu viwanja vilivyopimwa, sehemu zenye huduma za maji na umeme, sehemu zenye usalama, na vilevile proximity na down town ni chache sana kulinganisha mahitaji.

Serikali kuu na serikali za mitaani zilitakiwa kabla ya kugawa viwanja kwa wajenzi ku-develop maeneo kwanza. Hii ingeongeza yenye sifa kuwa mengi na kupunguza demand.
 

Kuna kitu kinaitwa supply and demand; na kuna kitu kinaitwa responsible lending. Kama hawa watu wananunua cash yes argument ya supply and demand inajibu and the price is justifiable.

lakini kama ni mkopo then its going to be a very short bubble autiji jiniasi hapa. For one simple reason hawa watu wanaenda benki kukopa na benki; ukishatoa deposit ni sawa na kwamba benk wameinunua wao nyumba. wewe ni mpangaji tu mpaka utapomaliza deni.

Kitu kingine benki ina rely na market stabilities; if anything hata ukishindwa kulipa watakapo iuza ni either itakua na thamani zaidi au ina thamani ile ile any thing less kwao ni hasara.

Hapo ndipo risk assesment inapokuja; in Tanzania watu wangapi wana mishahara ya kulipa mortage ya namna hizi hapo upanga kama hii trend itaendelea na ni kweli they can afford it au benki zinakua tu ambitous. Jibu lako liko kwenye recent international financial crisis ambazo zimeanza america supply and demand are always going to be there so long there is somebody who is willing to be unresponsible lender.

Kumbuka kuna maeneo mengi ambayo bado ni under developed ambayo any time zinaweza kushusha hiyo price tag realistically hivyo the price artificial kama huamini; muulize mtu ambae ana fanya kazi barclays ya bongo atakwambia hawakopeshi watu kununua hizi mortage za 80 000 currently unless im wrong.
 

point well taken
2. Matumizi mabaya ya serikali na forgeries. Pesa zinafujwa sana kwa njia mbalimbali ukiachilia mbali corruptions. Kuna posho za kipuuzi watu wanalipana. Mtu anafanya kazi yake ambayo ameajiliwa nayo mwisho anaclaim allowance.

this is part of corruption - corruption is not just bribery; it includes all these and more.

3. Miundo mbinu mibovu. Kuanzia nyumba, barabara, afya nk. Kuna sehem chache ambazo zinahuduma angalau zinaridhisha. Sasa Watanzania woote wanataka kujazana hapo matokeo yake ni ndiyo price kuendelea kupanda.

Sehemu chache zenye huduma zinazoridhisha (kama mijini) si zingekuwa na ushindani wa kibiashara na hivyo kupunguza bei? Kwanini sehemu hizo ndizo zina gharama kubwa zaidi?
 

Jibu ni kuwa tukipunguza na hata kuondoa ufisadi (siyo rushwa tu!) gharama ya maisha itakuwa karibu sana kama siyo sawa na gharama halisi (actual cost).

Kitu kingine kinachoongeza gharama za maisha ni kutokuwajibika kwa serikali katika kumlinda mtumiaji wafanyabiashara wanajipangia bei kiholela!

Hiyo nayo ni sehemu ya ufisadi; ufisadi siyo rushwa tu.

Mfano: Gharama za wireless internet Tanzania kwa sasa Zantel ni Tsh 6000 kwasiku = 180,000 kwa mwezi = 90 EUR

duh nilisahau gharama hiyo ya simu za mkononi na internet!

Nchi moja niliyowahi kutembelea Ulaya huduma kama hiyo inapatikana kwa 20 EUR kwa mwezi.

mimi simu yangu nalipa dola 45 kwa mwezi; inajumuisha unlimited talk, unlimited text, unlimited voicemail, unlimited internet!
 

who supply what? and who demand what? and who pay for both of them?
 
I have come to a conclusion that the real cost of corruption in Tanzania is the unchecked increase in the cost of living. It is the corruption that has led to the unrealistic increase of prices of goods and services. Would you agree?
sasa can you CONNECT THE DOTS from costs-of living to CORRUPTION?...
 
I have come to a conclusion that the real cost of corruption in Tanzania is the unchecked increase in the cost of living. It is the corruption that has led to the unrealistic increase of prices of goods and services. Would you agree?
I agree, All Public Parastatals (Mashirika ya Umma) are dead, Remember Mwalimu left over 400 corporates (From Mwatex, Mutex, Tea blenders, Alminium Africa, Cement Co. Tanganyika Packers, KAUDO,KAUMA, GAPEX, UFI, etc). Also there is no enough exports even pencils are imported from China, there is mere slogan buy Tanzania but which is Tanzania product? Nation can survive on Imports? even Rwanda and Uganda are far) ahead in coffee and vanilla exports, Did we real benefit from Economic Policies such as Privatisation or Open market? Look at Inflation, external debt and Currency (Tshs. value? Does that present sound economy?
 

Waberoya, thanks Mkuu, hiyo ndiyo cost ya unrealistic life we live everyday!!! sio nyumba tu, kuna viwanja vinauzwa 250,000 USD vya 2400sq meters... 1/2 star hotels at $60 etc.

Hizo garama zinatokana na "cha juu" without disturbing the forecasted profit margin by the supplier
 
I have come to a conclusion that the real cost of corruption in Tanzania is the unchecked increase in the cost of living. It is the corruption that has led to the unrealistic increase of prices of goods and services. Would you agree?
This is absolutely true Mkuu.

The cost of living is directly proportional to the increase in corruption, especially in our case. Biashara nyingi nchini zinafanikishwa na rushwa ambazo hutolewa na wafanya biashara mara kwa mara na hasa wanapohitaji msaada wa serikali katika mambo mbalimbali kama,

1. Leseni za biashara
2. Misamaha au punguzo la kodi
3. Maombi ya tenda mbalimbali za serikali
4. Unafuu wa mazingira ya kibiashara (conducive business environment)

Gharama yote inayompata mfanya biashara, hulipwa na mtumiaji. Baadhi ya gharama ambazo hutolewa ni pamoja na support za kisiasa kwa vyama na viongozi wake, zawadi kwa viongozi wakati wa sherehe mbalimbali (X-mas, Eid n.k) na harambee zinazoongozwa na viongozi kwa malengo mbalimbali. Kumbuka, harambee hizi ni maumivu makali kwa wafanyabiashara. Wakati mwingine wafanya biashara hulazimika kufanikisha ahadi ambazo kiongozi alizotoa kwenye harambee fulani (kuchangia ujenzi wa shule, kanisa, msikiti n.k.)

Siku ambayo rushwa itazimwa moja kwa moja nchini, labda ndipo tutakapogundua kuwa maisha yetu yalikuwa yanasaidiwa na mashine za kupumulia. Saa yoyote inaweza kuzimwa.
 
I can only say Duuuh; hii hatari sasa akina nani wana nunua

Mkuu, kuna watu Tanzania wanaoona hiyo kuwa ni bei poa tu. Kuna apartments zinajengwa Dar ambazo zinauzwa mara nne ya hiyo (ila sio one bedroom apartment, ni three bedroom apartments) na zinanunuliwa kwa kasi ya ajabu. Nyingine huwa zimeshauzwa kabla hata jengo halijakamilika.

There are people who are living while we are surviving.
 
Shalom.. tuchukulie mtu ambaye hana gari lake binafsi na anatumia public transportation to move around..

Hiyo gharama yake inaweza kuonekana ni nafuu sana kwani tukichukulia mtu anayekaa kulekule tegeta nauli ya basi mpaka mjini ni Tshs 800 X 2 = Tshs1600 X 22 days za kuja kazini = tsh 35200. hii pekee ni 35% ya kima cha chini cha mshahara

Gharama yake ni kuamka saa kumi na nusu usiku na kurudi saa mbili usiku. Ukizingatia kuwa ofisi nyigi hapa TZ hazina mpango wa flexible working hours au kuruhu watu kufanya kazi at least one day from home basi watu wengi wameziacha familia zao ziendeshe utawala binafsi
 
Lets take a vivid example of Richmond/Dowans, IPTL etc contracts. Tanesco has been paying billions in capacity charges to these corrupt ridden contracts. How does Tanesco cover the cost of these exorbitant charges, they level it on the cost of buying eletricity per unit. Who suffers then, u Mwanakijiji, Wana JF and each & every citizen in Tz.
 

Nilitaka kuonyesha tu ni njisi gani sisi wote ni wezi tu na ndiyo maana nivigumu sana kukemeana. Ukianza tu kukemea roho inakusuta inakuambia kuwa hebu piga matumizi yako ya mwezi halafu toa kipato chako halafu nieleze hii difference umetoa wapi. Of course watu walio wengi wanapenda kuishi maisha ya haki na wanajikuta tu wameingia kwenye hii circle ya ufisadi kwa mazingira. Hebu fikiria fedha kiduchu halafu kuna hawa wenzetu wenye fedha basi utaona wanakopesha kwa Riba ukikopa laki mbili basi mwisho wa mwezi unaripa 240,000.

Kwa sasa ni mafisadi tu ndiyo wanaofaidi maana ukiwa na cash kidogo tu basi inaongezeka kwani raia ni choka mbaya
 
Siku ambayo rushwa itazimwa moja kwa moja nchini, labda ndipo tutakapogundua kuwa maisha yetu yalikuwa yanasaidiwa na mashine za kupumulia. Saa yoyote inaweza kuzimwa.

I like this one!.. you mean we are on "artificial life support"..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…