secretarybird
JF-Expert Member
- Aug 22, 2024
- 2,998
- 4,948
Asante sana mkuu, manaani akulinde dhidi ya majahili wa Dunia hii.Tunachokiona sasa ni mwonekano wa Roho.
Sisi ni viumbe wa Roho kutoka kwa Mungu ambaye yuko katika umbo la mwanadamu.
Sisi ni ushahidi kwamba kuna Mungu na Ufalme ambao hatuwezi kuona.
Cha kusikitisha ni kwamba, kwa kila umri unaopita ubinadamu huzama zaidi katika kupenda mali, na kuwa na ufahamu mdogo wa asili yake ya kweli ya kiroho.
UCHAGUZI NI WETU.....