secretarybird
JF-Expert Member
- Aug 22, 2024
- 2,998
- 4,948
Asante sana mkuu, manaani akulinde dhidi ya majahili wa Dunia hii.Tunachokiona sasa ni mwonekano wa Roho.
Sisi ni viumbe wa Roho kutoka kwa Mungu ambaye yuko katika umbo la mwanadamu.
Sisi ni ushahidi kwamba kuna Mungu na Ufalme ambao hatuwezi kuona.
Cha kusikitisha ni kwamba, kwa kila umri unaopita ubinadamu huzama zaidi katika kupenda mali, na kuwa na ufahamu mdogo wa asili yake ya kweli ya kiroho.
UCHAGUZI NI WETU.....
Mbona wanasema ukifika chuoni lazima ujue.hakuna uhusiano wa moja kwa moja kati kujua kingereza na kwenda shule. Kingereza ni lugha tu ambayo mtu yeyote anaweza akajifunza na akaielewa popote. Ni kama wewe unavyokijua Kiha. Tofauti ya Kiha na Kingereza ni kwa vile Kingereza ni lugha ya kimataifa
Asante sana mkuu, manaani akulinde dhidi ya majahili wa Dunia hii.
Together brother, but it's true that a difficult subject many people find difficult to understandThis is actually a best thread of the year!
Bi up brother! japo si wengi watakuelewa, coz it is too deep!
Kwa nchi nyingine sawa, ila kwa Tanzania kuna uhusiano mkubwa sana, kiingereza chetu tunaanza kukipata shule mtaani hakipo.hakuna uhusiano wa moja kwa moja kati kujua kingereza na kwenda shule. Kingereza ni lugha tu ambayo mtu yeyote anaweza akajifunza na akaielewa popote. Ni kama wewe unavyokijua Kiha. Tofauti ya Kiha na Kingereza ni kwa vile Kingereza ni lugha ya kimataifa
Nikutafsirie wapi mkuu😂na kiswahili unakiweza mkuu! nitafsirie sasa na mie😃
1 Corinthians 2:14Together brother, but it's true that a difficult subject many people find difficult to understand
You are the one that believes in Illusions that spiritually doesn't exist.The so called spiritual world it's just imaginations and illusions.
Like imagining "We are Spirit beings from God that is in human form"
Can you come up with a proof to this assertion of yours without reasonable doubt?
yeah, wanaojua kingereza ni wengi ila hawapendi kukiongea kwa sababu kuna notion kuwa ni lugha ya wasomi. kwamba nikiongea kingereza nitaonekana kuwa ninajiinuaKwa nchi nyingine sawa, ila kwa Tanzania kuna uhusiano mkubwa sana, kiingereza chetu tunaanza kukipata shule mtaani hakipo.
Lakini cha shule nacho hakitoshi bado itahitaji jitihada binafsi kukijua zaidi na mtaani ni mwendo wa kiswahili na lugha za asili hapa ndo wengi tunafeli nikiwemo mimi
Maybe there is something I didn't comprehend, inform me so I may learn moreBoss, even on that spiritual level I think you have no understanding of it at all 🤔
Mkuu kujua lugha mbalimbali pia ina onyesha uwezo wako wa akili , tuache kujitetea kizembe hivi😁yeah, wanaojua kingereza ni wengi ila hawapendi kukiongea kwa sababu kuna notion kuwa ni lugha ya wasomi. kwamba niliongea kingereza nitaonekana kuwa ninajiinua
wanatusaidia kidogo kui boost hii lugha ni "baadhi ya walevi" 😂
If you're going to speak on something, you need to have lived it and show others how to prove it for themselves, Otherwise, it's just preaching with no real backing.Maybe there is something I didn't comprehend, inform me so I may learn more
I hoped that you might give me more spiritual instruction, but you are still adamant that I don't know anything about it. Tell me something I can learnIf you're going to speak on something, you need to have lived it and show others how to prove it for themselves, Otherwise, it's just preaching with no real backing.
I don't think he is spiritual person, he is speaking on monotheism religion onlyBoss, even on that spiritual level I think you have no understanding of it at all 🤔
Personally I’m telling you spirituality ain’t something that’s just there you gotta find it for yourself, not just go off what somebody told you, if it’s really real🤔🤔🤔I hoped that you might give me more spiritual instruction, but you are still adamant that I don't know anything about it. Tell me something I can learn
It's true that my content was based on religious and spiritual themes, and I am aware of other spiritual themes as well, but I don't care about them because I know they are a veiled form of Satanism.I don't think he is spiritual person, he is speaking on monotheism religion only
I get that, perhaps there's something more you can tellPersonally I’m telling you spirituality ain’t something that’s just there you gotta find it for yourself, not just go off what somebody told you, if it’s really real🤔🤔🤔