The return of champions, kuiokoa Yanga jumapili?

The return of champions, kuiokoa Yanga jumapili?

Msukule unapigwa mkwara na wenye yanga yao
20210907_223142.jpg
 
Rivers United ni timu ndogo sana kwa Yanga. Timu haina hata mchezaji mmoja timu ya taifa
Yanga ushindi lazima
 
Rivers United ni timu ndogo sana kwa Yanga. Timu haina hata mchezaji mmoja timu ya taifa
Yanga ushindi lazima
Timu ya taifa ya Nigeria first 11 yote wanacheza timu za maana ulaya hadi wengine wanakaa benchi , je wachezaji wa ndani watapataje nafasi ? Timu ya taifa ya Nigeria usifananishe na taifa stars
 
Timu ya taifa ya Nigeria first 11 yote wanacheza timu za maana ulaya hadi wengine wanakaa benchi , je wachezaji wa ndani watapataje nafasi ? Timu ya taifa ya Nigeria usifananishe na taifa stars
Akikujibu niite
 
Skin pigmentation is taking its toll...
No hiding it now...
Manara is loosing it. Hii kauli ya total trophies aliyoisema leo ya yanga na ile aliyoisema akiwa simba ni wazi jamaa ana matatizo ya akili...
 
Akikujibu niite
Harudi tena , timu ya taifa ya Nigeria wachezaji wote wanatoka vilabu bora na kubwa ulaya,hata hao Akwa wenyewe ambao ni mabingwa wachezaji timu ya taifa hawafiki 3 na wanasugua bench
 
Back
Top Bottom